Radio channels


D

diunal

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2013
Messages
500
Likes
8
Points
35
D

diunal

JF-Expert Member
Joined May 12, 2013
500 8 35
Ndugu zangu wana Jf naomba kuuliza na ikiwezekana kuelekezwa. Unapokuwa na satelite dish + king'amuzi unapata baadhi ya channels za radio. Mfano mimi nina kinga'amuzi cha TING, Ninapata radio mbili tu, Magic Radio - Channel ten tv, Uhuru fm - Agape Television. Je kuna namna yoyote kupata au kuongeza radio channels nyingine? MSAADA TAFADHALI
 

Forum statistics

Threads 1,274,992
Members 490,865
Posts 30,529,819