Radiator fan inazunguka polepole,haina ile speed yake ya kawaida. Shida ipo wapi?

Mkuu Tractor , kama alivyosema stoplight hapo juu, inaelekea wewe hauielewi vizuri feni inavyofanya kazi.

Ukiwasha AC inaanza kufanya kazi pale pale. Kwa maana AC inahitaji mzunguko wa hewa na ile feni ndio itasaidia.

Ukiwa haujawasha AC, ila ukawasha gari feni haianzi kuzunguka mara moja. Ila hadi engine ipate joto, then computer ya gari ikishajua engine imevuka joto fulani (mfano 80 centigrade), inamuambia water pump aanze kuzungusha maji yakapooze engine. Sada yale maji yaliyotoka kupooza engine nayo yanakuja kwenye radiator yanapozwa na ile feni.

Feni inakua na speed ndogo ukiwa maeneo yenye baridi sana na gari ikiwa kwenye mwendo kwakua ule upepo unaokutana nao ukiwa kwenye mwendo inasaidia kupooza.

Mzungu noma aisee.

Mzungu sio mwenzetu huwa nawaza physics ilotumika kwenye engine bado sipati jibu.
 
Back
Top Bottom