Radhi ya baba na mama ndani ya safari yangu ya Saudia

Hapana ila nilipenda sana kaswida hivyo primary kuanzia darasa la nne nilikuwa naenda siku ya dini chumba cha waislam kucheza kaswida vile wanavyotisa vichwa na.mwili nilikuwa napenda mno kwa miaka yote mpaka namaliza primary

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahaahahah.

Okey mkuu, mwenzio walimu walinilazimisha nishiriki kwaya ila mwishowe walinishindwa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilimuumiza marehemu mama mno alipokuja kugundua nilipofika sekondari na tabia ikawa ni ile ile ya ijumaa kwenda mskitini nikaunda kundi la marafiki 6 wote waislam nikafahamika kwa jina la rehema getini ili tu ijumaa tuweze kutoka ...niishie hapa ila nimefurahia mno hicho kisa cha buibui kutanda utando na ndege kutaga mayai mana sikujua kama ni story ya kweli tuliimba na kucheza kwa kufurahi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni story ya kweli na namshkuru Mungu nimefika mpaka hapo kwenye hilo eneo
 
Wee kumbee!mimi bado

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila nafsi imepewa maamrisho yanayofanana. Mbele ya Mwenyezi Mungu sote tuna majukumu sawa, yatakayo tofautisha majukumu yetu ni hali zetu hapa duniani. Na hizo hali ndio zinakuwa determinant factors za hukumu zetu zitakwendaje. Kwa mfano, maskini hatoulizwa kwa nini hakwenda hijja?? Maana hijja ni kwa wale tu wenye uwezo (japo hii ni topic ndefu sana).

Kwa hiyo kama mzee hakupata uwezo wa yeye mwenyewe kwenda, wewe unaweza kumpeleka lakini ni baada ya wewe kwenda. Maana utakuja wewe kuulizwa, ulipata uwezo wa kwenda hijja na hukwenda, why?? Utakuja kukosa majibu. Yeye kwa vile Allah anajua hakuwa na uwezo wala hatoulizwa.

Hapa ninalodhamiria kusema ni kwamba, nafsi yoyote inatakiwa ijifanyie wema yeye yenyewe kwanza kabla haijaifikiria nafsi nyengine, ama ukishafanya wewe basi ni muhimu mno kuwaangalia wazazi wako, mke/ mime wako n.k maana hakika ungependa kuwa nao peponi in shaa Allah.

Rejea Qur an 80:34-37

80:34 - "siku ambayo mtu atamkimbia nduguye"

80:35- "na mama yake na baba yake"

80:36- "na mkewe na wanawe"

80:37- "kila mtu katika wao siku hiyo atakuwa na jambo la kumtosha "

Katika mapokeo mengine inaonyesha siku hiyo itakuwa ndoto kiasi kwamba watoto watawashtaki wazazi wao kwa kutowapatia elimu ya dini. Ni mambo marefu na mazito ndani ya siku hiyo ya qiyaam (kiama).

Tosheka na hayo kwa Leo 😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Tosheka na hayo kwa Leo
Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejitaidi... ila haijanoga... Labda tuone uko mbele

Edited: Baada ya uzi wa Analyse kutrend na kugusa mioyo ya watu kutokana na changamoto za maisha alizopitia.. Naona sasa kila mtu anakuja na hadithi yake ya kutunga ili tu apate kiki (attention)

Kiukweli huu uzi hauna uhalisia, ata kama kuna cha kujifunza ila sio halisi
Mbona upo too critical hata kinachozungumzwa hakijasemwa. Tabia nyingine bwana si za kistaarabu kabisa...... halafu ukitaka nyuzi za kukusisimua kasome za kula tunda kimasihara maana nadhani hizo ndo zinazokufaa lakini nyuzi za mafunzo ya mambo mbalimbali waachie wenye uwezo wa kuyapambanua hayo.

Comment yako imenibore kishenzi.......
 
Achana nae man!

Ndio watu tulionao hao mkuu
 
Mkuu kumbe nimeandika hivyo?? Sorry I meant Bi Hajar, ndie alikuwa mama wa Ismail. Halafu hapo swafaa na Marwa nabii Ibrahim hakuzunguka wakati ule wanatafuta maji.

Kuhusu bustan hii, uislam unatuambia ilikuwa peponi (mbinguni) then
Mkuu uzi wako ni mzuri sana wenye mafunzo kedekede ya kiimani.
Nina maswali mawili kama sima tatu naomba unisaidie:
i) Kuna mdau kauliza Kama Eden iko mbinguni au Duniani? Ukamjibu kuwa ipo mbinguni kwa mujibu wa Mafundisho ya Uislam. Naomba sasa unijibu kwa uelewa wako wewe na elimu ya geographia tuliojifunza darasani..... Bustan ya Eden iko wapi?

ii) Kuna picha umeiweka ikionesha kibanda juu ya mlima ambapo kwa maelezo ya Uislamu hapo kwenye hako kakibando ndipo Nabii Adam alishushwa kwa mara ya kwanza toka Mbinguni.... swali kuna uhusiano gani kati ya Eden na Nabii Adam.

iii) Ni nani aliyetaka kutolewa sadaka kwa kuchinjwa kati ya watoto wawili wa Ibrahimu (Isaka na Ismael)? Na Ulitaja Misikiti mitatu mitakatifu duniani ikiwemo Madnnah, Makkah na Dome of the rock wa Parestine zamani yote ikiwa ni Kaanan au Israel. Eneo hilo ambalo lilikuwa hekalu lililojengwa na Suleiman lilikuwa na uhusiano gani na Ibrahimu?

Asante kwa sasa.....
 
Back
Top Bottom