Radha za Ndio na Hapana bungeni

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,139
2,991
Ndioooooo, hapanaaaa za wabunge wetu tafsiri yake ni nini ?je kuna manufaa yoyote?

Na hao Mara ndio Mara hapana wanashida gani ?au wamepewa amri na vyama vyao?

Wanakera Sana .
 
Back
Top Bottom