Radha ya kugongwa na nyoka ni amazing sana

Watatu weusi, kuna dawa moja nilipata kuoneshwa na bibi yangu hata wakugonge 20 ili mradi uwe umewahi kutafuna hiyo dawa hudhuriki.
Nani kakwambia black mamba mweusi?,ndio maana nilikwambia kuwa huyu mheshimiwa wew humjui hata kidogo!mdomo wake kwa ndani ndio huwa mweusi
 
Aisee... Jamaa hatari sana.ukawamudu vizuri tu?hawakukuachia kitu? Mi huwa nasikia wadada wakigongwa na nyoka wanavyolalamika.ingawa wa hawa wa siku hizi wamegongwa mpaka wamezoea kabisa

Nakwambia mimi ambaye nilikuwa mhanga wa mkasa huo. Black Mamba weusi watatu.
 
Konki konki konki master, anahitajika huku.

Mleta mada kagoogle tena siyo kila nyoka anavunja meno
 
Back
Top Bottom