Rada ya BAE SYSTEM ya akina Chenge iko wapi?

maramia

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,030
1,344
Kuna habari kwamba ile rada iliyopigiwa makelele ikimhusisha mwanasheria wa serikali wa enzi zile Andrew Chenge iiishakufa zamani bila kufanya kazi hata mwaka mmoja na hivi sasa ni skrepa.

Eti naibu waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi mhandisi Edwin Ngonyani ameueleza mkutano wa wamiliki wa ndege wa nchi za Afrika (IATA) uliofanyika jijini Dar kwamba Tanzania haina rada ya kuwezesha kutua ndege kubwa katika viwanja vyake na kwa hiyo inapata hasara ya sh bilioni 18 kila mwezi, na kwamba ili kuziba pengo hilo la 18b serikali inafanya mchakato wa kutafuta dola milioni 24 ili kununua rada mbili kwa ajili hiyo.

Kwa sababu serikali ya Uingereza iliiahidi Tanzania kwamba iko tayari kutoa ushahidi na ushirikiano wa hali na mali wakati wowote serikali itakapoamua kuchukua hatua. JPM ebu komaa na hili ni jepesi mno.
 
Atawezaje kukomaa nao wakati amesema atahakikisha anawalinda viongozi waliyopita?
 
Mkuu unataka mzee wa tezi dume asilale kwa raha?
 
Back
Top Bottom