RACIST MURDER:Adopted girl tortured and left to die in the US. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RACIST MURDER:Adopted girl tortured and left to die in the US.

Discussion in 'International Forum' started by Majoja, Oct 1, 2011.

 1. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  For those who would like to go to "the first world" at any cost , be warned.
  A beutiful Ethiopian girl has been murdered byher adoptive parents in the US.
  Jamani umasikini unatuua kwa njia za kifedhuli kabisa, Mungu atuhurumie!


  [h=1]Police: Adopted child was starved, left outside to die[/h][h=2]Washington state couple charged with homicide abuse in horrific death[/h]
  • [h=4][/h]
  [​IMG]
  Hanna Williams, 13, is seen in an image from KING 5.

  NBC News and msnbc.com

  updated 9/30/2011 7:16:22 PM ET 2011-09-30T23:16:22
  MOUNT VERNON, Wash. — The parents of a 13-year-old girl adopted from Ethiopia have been accused of starving and locking the girl outside — resulting in hypothermia that killed her.
  Hanna Williams was found dead in her backyard on May 12, naked and wrapped in a sheet. She had been living with her adoptive parents, Larry and Carri Williams, since coming to America from Ethiopia in 2008.
  Larry Williams, 47, and Carri Williams, 40, were arrested Thursday in Skagit County and are charged with homicide by abuse. They are being held in lieu of $500,000 bail.
  Skagit Count Prosecutor Richard Weyrich told NBC station KING 5 that Hanna Williams' death ranks right up there among the worst cases he's ever prosecuted.


  Probable cause affidavit in Hanna Williams case (PDF) According to the charging documents, Carri Williams is alleged to have talked about how much she disliked her two adopted Ethiopian children, a 10-year-old boy and Hanna. The couple have six biological children.
   
 2. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kabla ya kujua tunakuja na matusi ya aina gani kwa hawa washenzi tuambie hawa jamaa 'the Williams' ni wa rangi gani tujue kama tunakuja na kejeli za slaves brainwashed niggers (even niggers are racist these days apparently they don't classify themselves as being black african) au just the usual racist white man.
   
 3. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huu ni USHENZI,mod muni samehe lkn inauma sana.nchi zetu wanagawa watoto kama mawe,eti wana adopt kama wanapenda kuwasaidia wawe na upendo kama vile ni watoto wao au kuwasaidia kuwasomesha na kuwaacha wakiwa kwa ndugu zao kuliko huu unyama.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,265
  Trophy Points: 280
  achahasira, nakushauri uache hasira. kuna watu wengi tu hata tza wanachukua ndugu zao huko vijijini na kuwafanya slaves mjini. kuna watu wanafanya unyama huu kwa watoto wa kambo na hata wa kwao wenyewe! huu ni unyama, na sio kwa sababu ya adoption. wapo wengi wamepewa maisha na adoptive parents wao. unyama huu na wa aina nyingine yoyote haukubaliki na unatia uchungu. mungu asaidie haki ipatikane. pole kwa wazazi wa binti,wangalijua wasingemuacha mtoto wao.
   
 5. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru ndugu kwa kunielewesha.dah mi inaniuma kutokana na mtoto wa rafiki yangu alifanya ishu ya kumpeleka marekani.yeye alikuwa mgonjwa anashidwa kufanya kazi.mtoto aliteswa sahv washikaji wakitaa tunachanga kumsaidia mtoto huyo.
   
 6. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wazungu wengi ni washenzi sana na ni vizuri kitowaamini sana. Wengi wao wanatuona waafrika kama nyani na kama mfano wa mtoto huyu wa kiEthiopia unavyoonyesha, wanaona sisi kama wanyama hatuna feelings zozote.
  Ukipeleka mtoto nje, nchi yoyote ulaya hakikisha unafadha ya kutosha watpto wako wasije adhiriwa
   
 7. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu asante sana kwa ushauri wako,mi nikipata mtoto simpeleki nje peke yake.kama kuteseka na maisha basi wote tuteseke.lkn adhalilishwe hapo ndipo tutashikana mashati.
   
Loading...