RA Yuko Upande Gani?

utu wangu

Member
May 10, 2008
52
3
iko wazi By Now Kwamba Kuna Group Zimeanzishwa kwa Nia ya kukigawa Chama,flag Bearers wanajulikana.
swali Linakuja, Ra Kama Mmoja Ya Viungo Muhimu Kwenye Siasa Za Kifisadi,yuko Upande Upi?
ra Yuko More Loyal To Whom Kati Ya Hawa Mafahari Wawili?

tuelimishane wana Jf..
 
Anataka kuwa upande wa JK
 
Let Me Tell You Fisadi Mtoto Rostam Kama King Meker Wa Tz Sasa Ana Tafuta Mbadala Wa Jk So Hawezi Kuwa Na Jk,bali Yuko Moro Agenda
 
Let Me Tell You Fisadi Mtoto Rostam Kama King Meker Wa Tz Sasa Ana Tafuta Mbadala Wa Jk So Hawezi Kuwa Na Jk,bali Yuko Moro Agenda

This is the most true and painfull statement I have ready in my life time..... "Nchi yangu Tz...na King Maker RA" ... Imekuwaje tukafikia hapa?....Oh My good Lord... Is it realy happening? I'm very concerned with the King maker....sasa anaadvance tumjadili kwenye makundi mawili..... Mungu wetu mkuu ...what particular brand of forces is sustaining RA... anachezea UONGOZI wa Taifa.... yuko huru kuchagua ... pande!!!! Its so painfull ..mimi hata kuanza kuchagua pande....tatizo la msingi ni we hav no thing to do to contain Him?

Ok ninchangie mada...Ni naona ..Its true...huyu bwana akiachiwa atatafuta mbadala wa JK!
 
Back
Top Bottom