RA Yuko Upande Gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RA Yuko Upande Gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by utu wangu, May 12, 2008.

 1. u

  utu wangu Member

  #1
  May 12, 2008
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 52
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  iko wazi By Now Kwamba Kuna Group Zimeanzishwa kwa Nia ya kukigawa Chama,flag Bearers wanajulikana.
  swali Linakuja, Ra Kama Mmoja Ya Viungo Muhimu Kwenye Siasa Za Kifisadi,yuko Upande Upi?
  ra Yuko More Loyal To Whom Kati Ya Hawa Mafahari Wawili?

  tuelimishane wana Jf..
   
 2. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Anataka kuwa upande wa JK
   
 3. F

  Fisadi Mtoto JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2008
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 639
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  MNAKAA MNATUNGA HABARI THEN MNAANZA KUWAGAWA WATU KWENYE Makundi ambayo mmeyaumba wenyewe,hakuna cha mkutano wa moro wala wa dar na hakuna cha kundi la agenda 21 wala agenda 26.Hizi ni propaganda zenu.
   
 4. Pezzonovante

  Pezzonovante JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2008
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 643
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Let Me Tell You Fisadi Mtoto Rostam Kama King Meker Wa Tz Sasa Ana Tafuta Mbadala Wa Jk So Hawezi Kuwa Na Jk,bali Yuko Moro Agenda
   
 5. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2008
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  This is the most true and painfull statement I have ready in my life time..... "Nchi yangu Tz...na King Maker RA" ... Imekuwaje tukafikia hapa?....Oh My good Lord... Is it realy happening? I'm very concerned with the King maker....sasa anaadvance tumjadili kwenye makundi mawili..... Mungu wetu mkuu ...what particular brand of forces is sustaining RA... anachezea UONGOZI wa Taifa.... yuko huru kuchagua ... pande!!!! Its so painfull ..mimi hata kuanza kuchagua pande....tatizo la msingi ni we hav no thing to do to contain Him?

  Ok ninchangie mada...Ni naona ..Its true...huyu bwana akiachiwa atatafuta mbadala wa JK!
   
Loading...