RA Achunguzwe!

Inashangaza kuona kiongozi wa ngazi ya juu namuna hii anachukua mapesa ya waarabu ili ashinde UCHAGUZI!!!!!!!!!!

Intrest nyengine....!!!!!
 
Tz maatatizoooooooo tuu
Kilichobaki tumuchague kiongozi mpagani sasa.
Hawa wene dini hawafai kabisaaaaaa.
Wengine wanauza nchi kwa waarabu,wengine kwa wahindi,wengine kwa wazungu,........
Aibu tupu.
 
Inawezekana kuwa Mtikila na yeye alitumika bila ya kujijuwa.
Kwasababu hata issue ya EPA si ili leak hapa jf?
Sasa kwa hiyo wao kumpenyezea habari za Iran kimafia inawezekana...Ni mbinu tu.
Na pia kimtazamo mwingine..Bado inaweza ikawa pesa zilitoka pande zote..I mean Iran,BOT na hata kutoka kwa kina Gire.
 
Ishu hapa nikuwa Mtikila na RA wote ni wajanja na sioni hata siku moja wakiwa straght forward, mara zote hawakani au kukubali kitu chochote ila watakupa sababu nyingi sana. Kwa RA njia ni kumnyima kura may be anaweza akawataja wenzake na madeal yao wakimuacha nje ya mtandao.
 
Kama RA aliweza kulivamia kanisa la KILUTHERI ni wapi ATASHINDWA?
Wabunge wenyewe hati hati.
Ndiyo iwe Mtikila?
Mimi sisemi mtikila eti aaminiwe...Bali hatuwezi kumfananisha na RA hata siku moja!
Huo utakuwa uonevu wakupita kiasi!
 
Do you think Mtikila has given us enough and unquestionable substance to go with on the "supposedly" personal loan from RA?
 
Mtikila Vs Ridhiwani mahakamani(usimuweke hapo Dr slaa).Rostam behind it? Then?
 
Back
Top Bottom