R.S.V.P kwenye kadi ya mwaliko etc.

Lily Flower

JF-Expert Member
Oct 16, 2009
2,553
1,197
Wana JF hebu tudiscuss hii mada,

Nini maana ya R.S.V.P kwenye kadi ya mualiko etc na je inatekelezwa?
 
...R.S.V.P - Rendevous S'il Vous Plait - Ni neno la kifaransa maana yake kwa asiyehudhuria tafadhari..ndio hivyo amfahamishe fulani....naona wengi huandika tu kwenye makadi yako sijui kama wanaelewa hiyo...
 
Maana yake unaombwa utoe taarifa kama utafika au kama hautafika.
Sio tu kama haufiki.
 
R.S.V.P ni kifupi cha maneno ya kifaransa "r'epondez s'il vous plait" ikimaanisha tafadhali jibu au kwa kimombo please respond. Inatumika kwenye mialiko kuwataka wajumbe au waalikwa kujibu kama whether watahudhuria au la. Lakini u can imagine kupata majibu ya waalikwa wote kuwa watahudhuria au la inakuwa kazi mno ndo maana kwa sasa inatumika kwa wale watakaoshindwa kuhudhuria tu.

NB: hilo neno "vous" litaje vizuri tafadhali unaweza ukaashia kutamka aina ya vinyweleo
 
JF ni mwisho. Hata kama umeficha kitu mdomono kitatoka tu...LOL:rolleyes:
 
Hii kwa utamaduniwa wazungu zaidi , ambapo cards hutolewa mapema na ili uwajulishe kama uta udhurie ili wajue namna ya kuku wekea table na namna ya kuku fanya uwe comfortable,
Sasa kwa harusi zetu za watu 1,000, useme unakuja huji ni sawa tuu , maana haina tofauti labda uwe ni VIP na kuna VIP section hapo ina weza leta maana.
 
Nadhani kwa kuwa wengi hatukuwa tunajua maana ya R.S.V.P.
na kwa kuwa kumbe lina maana nzuri hasa kwa planning.basi nasi tutafute letu. ili kama naandaa sherehe na nimealika watu, basi wale watakao kuja nijue idadi yao na watakaoshindwa kuja nao nijue idadi yao. itanisaidia kwenye planning.
 
...R.S.V.P - Rendevous S'il Vous Plait - Ni neno la kifaransa maana yake kwa asiyehudhuria tafadhari..ndio hivyo amfahamishe fulani....naona wengi huandika tu kwenye makadi yako sijui kama wanaelewa hiyo...
Ninavyofahamu kweli hilo neno ni kifupi cha maneno ya kifaransa yaani "Repondez s'il vous plait!" na tafsiri yake ni halisi ni "Tafadhali jibu ". Kwenye kadi za mialiko neno hili hutumika kuwataka waalikwa ambao kwa sababu zozote hawataweza kuhudhuria kwenye mwaliko husika watoe taarifa. Sina hakika kama hilo limekuwa likitekelezwa.
 
Nadhani kwa kuwa wengi hatukuwa tunajua maana ya R.S.V.P.
na kwa kuwa kumbe lina maana nzuri hasa kwa planning.basi nasi tutafute letu. ili kama naandaa sherehe na nimealika watu, basi wale watakao kuja nijue idadi yao na watakaoshindwa kuja nao nijue idadi yao. itanisaidia kwenye planning.
Well said Bon, je waalikwa huwa wanatoa taarifa ya kufika au kutokufika, kwenye sherehe husika maana unakuta mtu umeplan sherehe ya watu mia 3 alafu wanafika watu mia na hamsini tu yaani hiyo ni hasara ya hali ya juu. Je tunatoa taarifa ya kufika au la?
 
"r'epondez s'il vous plait tena kwa wezetu usipofika kwenye hiyo shughuli huwa ni tatizo mostly ukiandaa na ww ya kwako huwa hawaji coz u didnt go(wat goes aroung)but kibongobongo wengi wanaandika bila kujua maana na hata tunaojua maana hatufanyi tunavyotakiwa kufanya,hii inasaidia hasa ktk kubudget chakula na vinjwaji sio bongo hela hatuna mavyakula tunamwaga ovyo utasema tunavyo,very bad.
 
aah! Mkuu si useme tu kuwa kabla ya mada hii ulikuwa unaelewa hivyo!

Hata nikisema kuwa nilikuwa najua maana yake umeamua hivyo mkuu. Ila ukweli nilikuwa najua maana yake kwa vile niliuliza...hiyo lugha mimi siifahamu. Ila Siwezi kusahau the Rice and Stew Very Plenty kwa vile it was a joke tukiwa tunakuwa enzi zileeeee!
 
"r'epondez s'il vous plait tena kwa wezetu usipofika kwenye hiyo shughuli huwa ni tatizo mostly ukiandaa na ww ya kwako huwa hawaji coz u didnt go(wat goes aroung)but kibongobongo wengi wanaandika bila kujua maana na hata tunaojua maana hatufanyi tunavyotakiwa kufanya,hii inasaidia hasa ktk kubudget chakula na vinjwaji sio bongo hela hatuna mavyakula tunamwaga ovyo utasema tunavyo,very bad.
Ni Kweli kabisa Pearl wengi hawajui maana je tufanyeje watu waanze kutekeleza kujibu.
 
Back
Top Bottom