Hivi R, L na H, ni Ugonjwa wa Taifa?

Naamini wana JF wote mpo sawa. JF imepata bahati kuwa na waandishi au wadadavuaji wazuri sana.

Lkn wapo ambao wanasumbuliwa na Maneno 'R' na 'L'. Baadhi hawajui R watumie wapi na L waweke wapi. Kuna mwana JF kaandika lais JPM badala ya rais JPM.

Mwingine kaandika jambo lahisi...badala ya jambo rahisi.Mwingine kaandika mahali 'namshukulu Mungu,' badala ya 'namshukuru Mungu'.

Wapo pia wanaotatizwa na neno 'hawezi kufika' wakiandika 'awezi kufika'.

Nia yangu ya kuandika uzi huu ni kwamba, tusome vizuri uzi za wadadavuaji wa JF ambao tunawajua wako vizuri kwenye kiswahili maana Elimu haina mwisho.

mtanzania anaejua kiswahili vizuri hizo herufi hazimpi shida
 
Tunaweza kupinga na kubeza kila kitu, na kutukana mitandaoni kutwa kuchwa bila kusahau vigodoro

Kutukana,kubeza,kupinga,kukubali,etc ndio tabia halisi ya mwanadamu!

Muache mwanadamu awe mwanadamu,huna haja ya kuzuia haki zao za kua na kutenda kama mwanadamu!

Muache!
 
Kutukana,kubeza,kupinga,kukubali,etc ndio tabia halisi ya mwanadamu!

Muache mwanadamu awe mwanadamu,huna haja ya kuzuia haki zao za kua na kutenda kama mwanadamu!

Muache!
Hiyo ni Tabia ya binadamu ambaye hajitambui, na muache hiyo tabia ya kuloloma ndio maana vitabu vya Mungu vinatufundisha ustaarabu, wana wa israel walishindwa kufika nchi ya ahadi kwa ajili ya kulalamika.
 
Binadamu anaejitambua hatukani?

Acha unafiki!

Binadamu kama wanyama wote tupo wired kufanya mema na mabaya pia!

Tunafanya both!

Sasa wewe unaendanganya umma kua hufanyi mabaya utakua nafiki namba moja!

Na vitabu unavyodai ni vya Mungu wameandika binadamu na ustaarabu wanaosemea mule sio ustaarabu ni upumbavu mostly!

Hajaandika Mungu hivyo vitabu!

Wameandika wanadamu wapumbavu kama mimi na wewe!

Hakuna na wala Usitegemee jema lolote mle!
 
Usikariri mambo , tafakari na uelewe kua Mungu ni nani ndio utajua vizuri, kuhusu 'Neno'.ndio utaelewa vizuri kuhusu vitabu vya Mungu na wale waliovuviwa kuviandika, pia utaelewa ustaarabu na ustawi wa binadamu na tofauti yake dhidi ya hayawani.halafu utaacha kutukana na kujitukana kuwa wewe ni mpumbavu.
Pole.
 
Lazima tufike sehemu sasa tukubaliane na hali, kanda ya ziwa, mbeya kote, kanda ya kati na sehemu mbalimbali hizi herufi zimeshaashindikana. Tukubali tu kama vile mjerumani hawezi kusema roho anasema hoho au mtu wa india kusema wewe hawezi hata umshikie bunduki atasema veve. Au kama kiingereza cha kimarekani kilivyo tofauti kimatamshi na kiingereza cha uingereza. Kuna sehemu mpaka bbadhi ya majina yameathirika KAROLI...KALOLI,nk
Ni ujinga Wa kutotaka kujifunza tu! Wapo watu wanaotoka hizo kanda na kwakuwa wanataka kujifunza wamezingatia walichofunzwa shuleni wanaandika na kuongea kiswahili kisicho na hayo makosa ya kifonolojia na kisarufi...
Watu wajifunze lugha tu
 
Mkuu tafadhali, mimi sio mshabiki wa Magufuli, lakini haimaanishi nitamponda kwenye tatizo la kibinadamu. Magufuli anakijua kiswahili vizuri hata kama sio kwa kiwango cha kupata A+, lakini anakijua. Isipokuwa anapata tatizo ya kutamka herufi fulani fulani, kutokana na herufi hizo kutokuwepo kwenye lugha aliyozungumza hasa wakati wa utotoni. Hilo ni tatizo ambalo hata awe rais wa dunia hakuna atakayemshangaa kutokuweza kuzitamka. Ingekuwa wakati wa kuandika pia anafanya kosa hilo ungekuwa na hoja lakini sio kwenye kutamka boss.
Hajataka tu kujifunza mbona mambo mengine anajifunza anaweza vema..
 
Ni ujinga Wa kutotaka kujifunza tu! Wapo watu wanaotoka hizo kanda na kwakuwa wanataka kujifunza wamezingatia walichofunzwa shuleni wanaandika na kuongea kiswahili kisicho na hayo makosa ya kifonolojia na kisarufi...
Watu wajifunze lugha tu
Dada kuna baadhi ya vitu hasa matamshi yaliyoathiriwa na lugha ya mama tangu udogoni huwezi kuyabadili. Kwa nini mnigeria akiongea kizungu utamjua kuwa katokea Nigeria? kuna baadhi ya Lugha za asili zipo stong sana katika kuathiri matamshi ya lugha nyingine lakini baadhi ya Lugha zipo weak. Kila kabila lina shida yake kwenye matamshi, mchagga hawezi kutofautisha Z na S
 
Usikariri mambo , tafakari na uelewe kua Mungu ni nani ndio utajua vizuri, kuhusu 'Neno'.ndio utaelewa vizuri kuhusu vitabu vya Mungu na wale waliovuviwa kuviandika, pia utaelewa ustaarabu na ustawi wa binadamu na tofauti yake dhidi ya hayawani.halafu utaacha kutukana na kujitukana kuwa wewe ni mpumbavu.
Pole.

Mungu na shetani wote wajinga kama wewe!

Kama wewe unaaamini Mungu na shetani ni wewe!

Usidhani dunia nzima tunaamini huo upumbavu kama unavyoamini wewe!

Nimemtukana boss wako,Mungu,sasa wewe nani?

Mengine yote uliyoandika please shove em up into yo’ass!

Get tha fvck outta here!
 
Ujinga ujinga mtupu.
 
Dalili za akili ndogo na mbovu ndio hizo ulizonazo , povuuu.

Hahaaa

Ukipewa vidonge vikakuingia vizuri unaishia kusema “povu”!

No sio “povu”,umechanwa ukaelewa ndio maana umeishia kusema “povu”!

Sio dalili,nina akili ndogo,cha ajabu unazidi kimbizana na akili ndogo which shows wewe ndio una akili ndogo zaidi!
 
Afadhali umejitambua kua una akili ndogo na ufinyu wa mawazo yaani 'zero brain'
 
Afadhali umejitambua kua una akili ndogo na ufinyu wa mawazo yaani 'zero brain'

Bu definition wewe ndio zero brain zaidi

Maana unakaa siku nzima unabishana na zero brain!

I’m zero brain,ila unatumia muda wako na bando lako kijibizana na mimi,I command your respect!

Nikikwambia simama,unasimama,nikisema ruka,unaruka!

Wewe ndio zero brain zaidi kama unafata my commands na unakaa siku nzima kujibizana na mimi!

Lay down!
 
Back
Top Bottom