Unajuaje kwamba ni bahati mbaya na si uzembe wa mtu tu?Sio wote wana kipawa hicho. Na kwa bahati mbaya Magufuli sio mmoja wa wenye hicho kipawa.
Unajuaje kwamba ni bahati mbaya na si uzembe wa mtu tu?
Humehongeha kama Muha.Hahah umenichekesha kweri kweri ngoja tusubili warimu waje kutufundisha
Sasa kwa nini umejikita kwenye bahati mbaya tu?A na B vyote vyaweza kuwa sawa.
Sasa kwa nini umejikita kwenye bahati mbaya tu?
Umebadili kauli.Sijajikita kwenye bahati mbaya tu, nimesema wengi wenye matatizo hayo ni nadra kubadilika.
Umebadili kauli.
Umeondoa maneno "bahati mbaya" kwenye kauli.Sina popote nilipobadili kauli kwani sina sababu ya kubadili jambo lenye uhalisia.
Yaani sipendiPia kuna "ha" na "a"...... Mtu anaandika " jamaa hanakula"dah
Umeondoa maneno "bahati mbaya" kwenye kauli.
Hata mimi sihitaji ushindi.Kiranga unatembea na marking scheme huku jukwaani!? Nimekuambia sihitaji kupata ushindi kwenye hoja hii maana kuna hoja nyingi tu naweza kutafutia ushindi, na ili uibuke mshindi nikakupa na ushindi mapema kabisa. Ila ukweli unabaki kuwa kuna watu wanaathiriwa na lugha zao za utotoni, kiasi ukubwani hushindwa kutamka baadhi ya herufi, hili halijalishi ni bahati mbaya, uzembe au nini lakini habari ndio hiyo.
Mimi nilifikiri unazungumzia R na L za kwenye GariNaamini wana JF wote mpo sawa. JF imepata bahati kuwa na waandishi au wadadavuaji wazuri sana.
Lkn wapo ambao wanasumbuliwa na Maneno 'R' na 'L'. Baadhi hawajui R watumie wapi na L waweke wapi. Kuna mwana JF kaandika lais JPM badala ya rais JPM.
Mwingine kaandika jambo lahisi...badala ya jambo rahisi.Mwingine kaandika mahali 'namshukulu Mungu,' badala ya 'namshukuru Mungu'.
Wapo pia wanaotatizwa na neno 'hawezi kufika' wakiandika 'awezi kufika'.
Nia yangu ya kuandika uzi huu ni kwamba, tusome vizuri uzi za wadadavuaji wa JF ambao tunawajua wako vizuri kwenye kiswahili maana Elimu haina mwisho.
Hata mimi sihitaji ushindi.
Na kama unaona nahitaji ushindi na ushanipa ushindi kwa nini unaendelea kunijibu?
Tatizo hili sio hapa jf tuu.yaani Wahandishi na watangazaji karibu wote kwenye tv za mitandaoni .wana tatizo hili R na L
Your doubletalk is self contradictory.Nina kujibu maana sina cha kupoteza na sina popote nilipokupora ushindi wako. Kuna shida kwenye hilo boss?