'R' NA 'L' zinatusumbua wengi JF

Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
6,449
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
6,449 2,000
Dalili za akili ndogo na mbovu ndio hizo ulizonazo , povuuu.
Hahaaa

Ukipewa vidonge vikakuingia vizuri unaishia kusema “povu”!

No sio “povu”,umechanwa ukaelewa ndio maana umeishia kusema “povu”!

Sio dalili,nina akili ndogo,cha ajabu unazidi kimbizana na akili ndogo which shows wewe ndio una akili ndogo zaidi!
 
K

kenna

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2014
Messages
2,040
Points
2,000
K

kenna

JF-Expert Member
Joined May 30, 2014
2,040 2,000

Afadhali umejitambua kua una akili ndogo na ufinyu wa mawazo yaani 'zero brain'
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
6,449
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
6,449 2,000
Afadhali umejitambua kua una akili ndogo na ufinyu wa mawazo yaani 'zero brain'
Bu definition wewe ndio zero brain zaidi

Maana unakaa siku nzima unabishana na zero brain!

I’m zero brain,ila unatumia muda wako na bando lako kijibizana na mimi,I command your respect!

Nikikwambia simama,unasimama,nikisema ruka,unaruka!

Wewe ndio zero brain zaidi kama unafata my commands na unakaa siku nzima kujibizana na mimi!

Lay down!
 
Statesmann

Statesmann

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2019
Messages
1,017
Points
2,000
Statesmann

Statesmann

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2019
1,017 2,000
Kipi sahihi hapo?
Yote yako sahihi ila inategemea unayatumiaje

"Kuonesha" linatokana na mizizi wa neno "Ona"
Ona=Onesha,Maonesho,Kuonesha n.k
Kwahiyo pale Sabasaba huwa mnaenda kwenye Maonesho na sio Maonyesho!

"Kuonyesha" linatokana na neno "Onya"
Onya=Onyesha,Maonyesho,Kuonyesha n.k
 
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Messages
7,415
Points
2,000
yna2

yna2

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2018
7,415 2,000
Yote yako sahihi ila inategemea unayatumiaje

"Kuonesha" linatokana na mizizi wa neno "Ona"
Ona=Onesha,Maonesho,Kuonesha n.k
Kwahiyo pale Sabasaba huwa mnaenda kwenye Maonesho na sio Maonyesho!

"Kuonyesha" linatokana na neno "Onya"
Onya=Onyesha,Maonyesho,Kuonyesha n.k
Ooh ahsante
 
K

kenna

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2014
Messages
2,040
Points
2,000
K

kenna

JF-Expert Member
Joined May 30, 2014
2,040 2,000
Bu definition wewe ndio zero brain zaidi

Maana unakaa siku nzima unabishana na zero brain!

I’m zero brain,ila unatumia muda wako na bando lako kijibizana na mimi,I command your respect!

Nikikwambia simama,unasimama,nikisema ruka,unaruka!

Wewe ndio zero brain zaidi kama unafata my commands na unakaa siku nzima kujibizana na mimi!

Lay down!
Akili ya sifuri kazi kwelikweli, Majibu yangu hayazidi sentensi tano, ndio siku nzima? Ndio kujibizana huko ? Wewe ni mshamba mshamba fulani hivi , huna jipya.
 
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Messages
1,678
Points
2,000
Vi rendra

Vi rendra

JF-Expert Member
Joined Sep 11, 2017
1,678 2,000
Sio hizo tu kuna uandishi mwingi unakosewa
Kama Mungu - mungu ,Tanzania -tanzania nk
Kuna wale wasiojua kumalizia maneno kama niamb/Twend/wew/vip
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
6,449
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
6,449 2,000
Akili ya sifuri kazi kwelikweli, Majibu yangu hayazidi sentensi tano, ndio siku nzima? Ndio kujibizana huko ? Wewe ni mshamba mshamba fulani hivi , huna jipya.
“Majibu yangu hayazidi sentensi tano” and blah blah blah!

Get’outta here!

Sentensi tano umesema wewe binafsi!

Kwanini isiwe sentensi mbili au tatu au kumi?

Wewe nani uweke kipimo ni sentensi tano?

Ni ubongo wako ulio na mavi ndio umesema sentansi tano ni kipimo kidogo!

Keep those in your head!

Mshamba wewe unaejibizana na mshamba mimi!

Asie na jipya ni wewe unaeongea na asie na jipya mwenzio!

Ungekua na akili nyingi sana unazojidai nazo hapa usingekua na muda wa kuandikiana na mwenye akili ndogo!

Ila huwezi,nikisema harisha,unaharisha!

Jinga zaidi ni wewe!
 
K

kenna

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2014
Messages
2,040
Points
2,000
K

kenna

JF-Expert Member
Joined May 30, 2014
2,040 2,000
“Majibu yangu hayazidi sentensi tano” and blah blah blah!

Get’outta here!

Sentensi tano umesema wewe binafsi!

Kwanini isiwe sentensi mbili au tatu au kumi?

Wewe nani uweke kipimo ni sentensi tano?

Ni ubongo wako ulio na mavi ndio umesema sentansi tano ni kipimo kidogo!

Keep those in your head!

Mshamba wewe unaejibizana na mshamba mimi!

Asie na jipya ni wewe unaeongea na asie na jipya mwenzio!

Ungekua na akili nyingi sana unazojidai nazo hapa usingekua na muda wa kuandikiana na mwenye akili ndogo!

Ila huwezi,nikisema harisha,unaharisha!

Jinga zaidi ni wewe!
Maneno meengi , unajieleza nini ? Unaomba kazi ? Mshamba tyu wewe.
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
6,449
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
6,449 2,000
Maneno meengi , unajieleza nini ? Unaomba kazi ? Mshamba tyu wewe.
Kiswahili sahihi kinakupiga chenga:

Tyu=Tu

Waomba kazi ni nyie wapumbavu!

Watu wote tulio na akili ni wafanyabiashara!

Sijawahi omba kazi tangu nije duniani hapa,mimi ndio natoa ajira kwa kenge kama wewe!

Mshamba bibi yako!

Maneno mengi ni yangu,sio yako!

Jisimamie na ujipe amri wewe mwenyewe!
 
K

kenna

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2014
Messages
2,040
Points
2,000
K

kenna

JF-Expert Member
Joined May 30, 2014
2,040 2,000
Kiswahili sahihi kinakupiga chenga:

Tyu=Tu

Waomba kazi ni nyie wapumbavu!

Watu wote tulio na akili ni wafanyabiashara!

Sijawahi omba kazi tangu nije duniani hapa,mimi ndio natoa ajira kwa kenge kama wewe!

Mshamba bibi yako!

Maneno mengi ni yangu,sio yako!

Jisimamie na ujipe amri wewe mwenyewe!
Huna jipya , akili ndogo , maneno mengi yasio na tija , ni uzwazwa na ushamba ndio unaokusumbua, umuajiri nani wewe mshamba ,stup*d.
 
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2017
Messages
6,449
Points
2,000
Wyatt Mathewson

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2017
6,449 2,000
Huna jipya , akili ndogo , maneno mengi yasio na tija , ni uzwazwa na ushamba ndio unaokusumbua, umuajiri nani wewe mshamba ,stup*d.
Naajiri binadamu wanao pumua kama wanadamu wengine!

Nikuajiri wewe kama wewe hata bure sifanyi!

Siwezi ajiri taahira!

Maneno mengii,ni yangu,au unayaonea wivu!

Kama unaona wivu,go ahead,kill yourself and bury yourself!

Zwazwa bibi yako mzazi!

Mshamba matak0 yako binafsi!
 
K

kenna

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2014
Messages
2,040
Points
2,000
K

kenna

JF-Expert Member
Joined May 30, 2014
2,040 2,000
Naajiri binadamu wanao pumua kama wanadamu wengine!

Nikuajiri wewe kama wewe hata bure sifanyi!

Siwezi ajiri taahira!

Maneno mengii,ni yangu,au unayaonea wivu!

Kama unaona wivu,go ahead,kill yourself and bury yourself!

Zwazwa bibi yako mzazi!

Mshamba matak0 yako binafsi!
Hahahaaaaa,Uko kwenye heat wewe , tafuta bwana akutulize mtoto wa kike , usitupigie kelele, pumbaf.
 
Kilele9

Kilele9

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2017
Messages
762
Points
1,000
Kilele9

Kilele9

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2017
762 1,000
Naamini wana JF wote mpo sawa. JF imepata bahati kuwa na waandishi au wadadavuaji wazuri sana.

Lkn wapo ambao wanasumbuliwa na Maneno 'R' na 'L'. Baadhi hawajui R watumie wapi na L waweke wapi. Kuna mwana JF kaandika lais JPM badala ya rais JPM.

Mwingine kaandika jambo lahisi...badala ya jambo rahisi.Mwingine kaandika mahali 'namshukulu Mungu,' badala ya 'namshukuru Mungu'.

Wapo pia wanaotatizwa na neno 'hawezi kufika' wakiandika 'awezi kufika'.

Nia yangu ya kuandika uzi huu ni kwamba, tusome vizuri uzi za wadadavuaji wa JF ambao tunawajua wako vizuri kwenye kiswahili maana Elimu haina mwisho.

R na L unamaanisha Reft na Light au kushoto na kuria?
 
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
11,902
Points
2,000
Thad

Thad

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
11,902 2,000
Pengine ni mwendelezo wa mgomo baridi wa walimu... maana haiingii akilini kuona asilimia kubwa ya wahitimu wa 'dotkom' wakiwa hawajui kuandika vizuri. Zifanyike tafiti ili kubaini chanzo cha hili tatizo kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.
 
Forum statistics

Threads 1,334,518
Members 512,012
Posts 32,478,860
Top