'R' NA 'L' zinatusumbua wengi JF

marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
11,916
Points
2,000
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
11,916 2,000
Kadhalika kuna;
Dh na Z
Th na S
Madhumuni ... Mazumuni
Maudhi ... Mauzi
Dhuru ... Zuru

Thamani ... Samani
Athirika ... Asilika
Mathayo ... Masayo
Themanini ... Semanini
Theluthi ... Selusi
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
46,280
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
46,280 2,000
Nina kujibu maana sina cha kupoteza na sina popote nilipokupora ushindi wako. Kuna shida kwenye hilo boss?
Your doubletalk is self contradictory.
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
8,277
Points
2,000
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
8,277 2,000
Kiswahili ni chetu ila bado ni changamoto hatukijui
 
mkabasia

mkabasia

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
1,915
Points
1,500
mkabasia

mkabasia

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
1,915 1,500
Yako makosa mengi sana, matumizi ya maneno " yeyote na yoyote " bado nichangamoto. Wekeni kanuni ya matumizi R na L hapa twende pamoja. Au nikukariri tu hakuna kanuni?
Sidhani kama kuna kanuni.Ngoja waje wajuvi tuskie.
 
X

xfet

New Member
Joined
Aug 15, 2019
Messages
2
Points
20
X

xfet

New Member
Joined Aug 15, 2019
2 20
Hao watu wasiojua kutofautisha kati ya "R' na " L' mpaka kwenye kuandika , vipi kwa maneno ya kiingereza sasa maana kuna maneno ukichanganya unaharibu maana
Road= load
Play= play
au huwa kiingereza hawajui
 
magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Messages
4,898
Points
2,000
magnifico

magnifico

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2013
4,898 2,000
Tatizo hili sio hapa jf tuu.yaani Wahandishi na watangazaji karibu wote kwenye tv za mitandaoni .wana tatizo hili R na L
Hii ndio ile Wahenga wanaita nyani haoni kundule.
 
H

honeybae

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Messages
233
Points
250
H

honeybae

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2016
233 250
Tatizo lingine kubwa ni hili kama lako. Wengi hawajui wapi h au a inatumika. Mfano wewe ulitakiwa kuandika waandishi. Au mwingine hajui tofauti ya HANA na ANA.
Hawa wa H ndo wanakera zaidi bora hata R na L unaeza sema mbwembwe
 
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Messages
758
Points
1,000
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2018
758 1,000
Kuongea huwa nawasamehe watu, ila kuandika sio kosa la kuongea, ni mwandiko mbovu tu....
 
HARUFU

HARUFU

Platinum Member
Joined
Jan 21, 2014
Messages
27,644
Points
2,000
HARUFU

HARUFU

Platinum Member
Joined Jan 21, 2014
27,644 2,000
Michango ya WADAU ndio inayonifaa hapa
 
Mtafiti77

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Messages
785
Points
1,000
Mtafiti77

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2011
785 1,000
Tuludi kweye mada ,nazani tunaongea uandishi wa hivi:
screenshot_20190909-110301_adobe-acrobat-jpg.1202347
 
Hasmoir

Hasmoir

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
210
Points
250
Hasmoir

Hasmoir

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2018
210 250
Makabila pia yanachangia,mfano wanyamwezi wanatumia sana L kwenye R, utasikia mtu anasema Gali badala ya Gari au Habali badala ya Habari.
 
MzeeMeko

MzeeMeko

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Messages
1,213
Points
2,000
MzeeMeko

MzeeMeko

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2017
1,213 2,000
Tatizo hili sio hapa jf tuu.yaani Wahandishi na watangazaji karibu wote kwenye tv za mitandaoni .wana tatizo hili R na L
hata wewe umekosea umesema wahandishi badala ya waandshi.Inaonekana tatizo ni kubwa.Wachaga nao kama mhe Mrema nchi anasema inji
 
MzeeMeko

MzeeMeko

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Messages
1,213
Points
2,000
MzeeMeko

MzeeMeko

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2017
1,213 2,000
Huu ni ugonjwa wa taifa, ni 'haibu' sana miandiko mibovu kweli mpaka watu maarufu wenye nyadhifa kubwa tu serikalini ama mashirika binafsi hawajui kutofautisha r na l, a na ha, inafikia hatua msomaji unaona hata aibu kwa niaba ya mwandishi
aibu umesema haibu
 
MzeeMeko

MzeeMeko

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2017
Messages
1,213
Points
2,000
MzeeMeko

MzeeMeko

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2017
1,213 2,000
Wakurya wakisema tumefiwa utacheka au uji mtamu sana
 

Forum statistics

Threads 1,334,516
Members 512,012
Posts 32,478,792
Top