R.Kelly: Freemasons wakikasirika

"Wana control kila kitu" basi wao ndio wahusika wakuu wa changamoto zote hapa bongo
 
Mpaka hii leo kuna watu ambao ukiwaeleza habari za freemasons huona tu kama ni hadithi za kufikirika na kwamba hazina uhalisia wowote katika maisha ya kawaida.

Well, kama wewe ni mmoja wa watu wenye imani hiyo nikwambie tu uanze kuifuta dhana hiyo kichwani mwako maana THIS THING IS VERY REAL. Freemasons wapo na wana nguvu na ushawishi mkubwa kwa kila kinachofanyika duniani kwa namna ambavyo huwezi kufikiria. Hawa watu ndio wanacontrol uchumi wa dunia, hawa ndio wanacontrol KILA KITU KINACHOHESHIMIKA DUNIANI kuanzia viongozi wa kisiasa, viongozi wa kidini, wanamichezo na hata wanamuziki wanaoheshimika zaidi duniani.

Issue inayoendele hivi sasa kwa msanii mkubwa sana duniani Robert Kelly aka R.Kelly ni mfano tosha kabisa kwa wale ambao walikuwa na hofu na uwepo wa hawa watu lakini zaidi sana nguvu za hawa jamaa na influence yao.

Je nini kilisababisha R.Kelly kukutwa na yanayomkuta? Hilo nikipata muda nitaliandikia uzi wake lakini kwa leo ningependa tu kukuambia wewe usiyeamini uwepo wa hawa watu umuangalie R.Kelly.
Mtu ambae alifikia mahali akapewa mfalme wa R&B duniani, mtu ambae ana mashabiki mamilioni kwa mamilioni kote duniani, hivi tunavyoongea hakuna hata mtu mmoja duniani anayefurahia kusikia jina R.Kelly masikioni mwake. Nini kimetokea?


Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi mkuu, yanayomkuta kelly ndo yaliyomkuta Michael Jackson.. ila jamaa huwa wako smart sana.. kiasi ambacho mvivu wa kutafiti mambo ataona ni blaa blaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mentality za kijamaa hizo mkuu.

Ujaa unasema "wengi wape", na wengi hwakosei daima.
Kwa hiyo kama wengi ni masikini, basi wote inabidi tuwe masikini.
Ole wako uwe tajiri, tutakuita firimasoni tu.
Mentality chafu sana hiyo. Ukiwa tajir ni kosa.. mabaya yote utazushiwa ww.
Yaan jamii za kijamaa zinataman ufilsike wapate cha kusema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom