R Kelly akimbilia maombi baada ya tuhuma dhidi yake za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto kupamba moto

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Wadau,

Gwiji na mfalme wa R&B R Kelly yupo kwenye wakati mgumu kutokana na tuhuma za udhalilishaji kimapenzi kwa watoto.

Safari hii tuhuma zimemlemea na kutikisa dunia ya muziki ambayo imempa heshima kwa miaka mingi. Wapo walioamini moja kwa moja tuhuma hizi lakini pia lipo kundi linaloamini ni character assassination na tabia ya wazungu kutaka kuharibu legacy yake kama walivyowachafua akina Tyson, Michael Jackson n.k na kuharibu uelekeo wao kwa stress.

Mkongwe huyu amekimbilia Kanisani na kufanyiwa maombi mazito kama inavyoonekana hapa chini.

View attachment marcusrogerschildoftheking_video_1546726562914.mp4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Documentary ya Surviving R. Kelly haiwezi kumuacha salama, mwanzoni alitishia kuwafungulia kesi badala yake kakimbilia maombi?

Hata hivyo R. Kelly kazidi jamani. Tuache kasumba ya kutetea kisa weusi wenzetu.
Niliangalia interviews za aliyekuwa mke wake (Andrea Kelly) nilitokwa na machozi! Jamaa ni mnyama.

This time wamemuamulia, sidhani kama ‘atasurvive’ tena.
Pamoja na mziki wake mzuri ila ifikie wakati tutenganishe career na mhusika.
Nafuatilia kwa karibu hili, ngoja tuone itakuwaje.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nifah

Anawaharibu kivipi?

kama ni binti amefika umri wa miaka 18 ametongozwa kakubali ni sawa....labda utufafanulie anawadhalilisha kivipi?
 
Kwahiyo wabake, wadhalilishe wanawake na watoto waachwe kwavile ni magwiji weusi?

Mfano ungekuwa unaishi US na R. Kelly akamharibu binti yako ungemuacha kisa tu ni legend?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nope but experience and trend show us that the whites tends to bury the history of the greatness of a blackman whenever the chance occurs... Reference is made from limb chopping by Belgians in Congo, cutting nose of black statues in Egypt, the killing of Martin Luther King and mud slinging of these celebrities now.
The white man is on the mission to wipe out our history.
 
Anawaharibu kivipi???
kama ni binti amefika umri wa miaka 18 ametongozwa kakubali ni sawa....labda utufafanulie anawadhalilisha kivipi??

Jenga hoja zako kwa facts. Hivi kuna mwendawazimu gani angelalamika kama hao mabinti anaowaharibu wangekuwa na miaka kuanzia 18?

Wengi ni kuanzia miaka 13 hadi 17. Fuatilia kwa undani suala hili na sio kujenga hoja kwa mahaba.

Kama wahusika wamehojiwa na kukiri udhalilishaji waliofanyiwa na R. Kelly wewe ni nani hadi useme hakuwaharibu?

Nimeuliza amewaharibu kivipi??
soma vizuri maswali alaa.....
nyie ambao mnafatilia taarifa za hao ..ndio mbandike facts hapa kwa maana wengine hatuna muda wa kuchimba habari za watu zaidi ya kupata taarifa.
 
Kama anajielewa na bado ana passport yake,asepe haraka sana kwenye hyo nchi na ahamie nchi isiyo na extradition treaty na Marekani lasivyo yalomkuta mzee Cosby yatamkuta na yeye,na wakimpeleka mahakamani safari hii hachomoki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibie kwema? nikikumbuka sakata la almarhumu Aaliyah huyu jamaa shutma hizi hazijaanza leo yale mambo ya age aint nutting but a number duh kitambo sana ana husishwa na kashfa hizo

Kwema Sheikh...

Kitambo sana na shutuma zote alishinda ndio maana jamaa wameamua kuja na documentary ya ‘Surviving R. Kelly’ hahaaaaa

Aaliyah alimuoa kwa siri akiwa na miaka 15! Na mambo yalipoanza kupamba moto jamaa akahojiwa akaulizwa anapenda kutoka kimapenzi na teenager? Eti akauliza “Kwani tunazungumzia umri gani?” Lol

Pia akaenda mbali kwa kusema moyo wake unasema hapana ila mwili wake unasema ndio. Dooooh!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jenga hoja zako kwa facts. Hivi kuna mwendawazimu gani angelalamika kama hao mabinti anaowaharibu wangekuwa na miaka kuanzia 18?

Wengi ni kuanzia miaka 13 hadi 17. Fuatilia kwa undani suala hili na sio kujenga hoja kwa mahaba.

Kama wahusika wamehojiwa na kukiri udhalilishaji waliofanyiwa na R. Kelly wewe ni nani hadi useme hakuwaharibu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kibongo bongo hiyo age mbona washakubuhu sana, hata majuu kwa umri huo wanakuwa washakubuhu sema mzigo wa ustaa ndo unaomuelemea..

Ebu kuwa muwazi wewe umeanza hayo mambo ukiwa na umri gani alafu fuatilia na hapo mtaani kwako unapoishi ndo utapata uhalisia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeuliza amewaharibu kivipi??
soma vizuri maswali alaa.....
nyie ambao mnafatilia taarifa za hao ..ndio mbandike facts hapa kwa maana wengine hatuna muda wa kuchimba habari za watu zaidi ya kupata taarifa.

Huwezi kuwa serious!
Kweli huelewi mwanaume mtu mzima akimrubuni kimapenzi binti mdogo anamuharibu vipi?

Kingine kwakuwa umesema hujui taarifa hizi ni kwamba huwa anawafanya watumwa wa ngono! Na kwenye kasri lake alikuwa nao mabinti kadhaa na wote aliwatumikisha kingono kwa aina azipendazo yeye.
Yote haya aliyasema binti mmoja aliyetoroka baada ya kuchoka kufanywa mtumwa wa ngono na R. Kelly

Mambo ni mengi...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nope but experience and trend show us that the whites tends to bury the history of the greatness of a blackman whenever the chance occurs... Reference is made from limb chopping by Belgians in Congo, cutting nose of black statues in Egypt, the killing of Martin Luther King and mud slinging of these celebrities now.
The white man is on the mission to wipe out our history.
Ngeli mkuu,imbombo na ngafu.
 
Kibongo bongo hiyo age mbona washakubuhu sana, hata majuu kwa umri huo wanakuwa washakubuhu sema mzigo wa ustaa ndo unaomuelemea..

Ebu kuwa muwazi wewe umeanza hayo mambo ukiwa na umri gani alafu fuatilia na hapo mtaani kwako unapoishi ndo utapata uhalisia..

Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo ni yako wewe sio sheria hiyo.

Jaribu kubaka au mpe mimba mwanafunzi halafu uende mahakamani ukajenge hoja hii uone itakuwaje.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom