R.I.P wana chitchat wote

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
hello,
najua sasa ni usiku sana, wengi wenu mmechoka na mnaenda kupumzika sasa.

kiukweli kabisa nisingependa mkose amani ilhali mnapumzika, hivyo kwa kila anayekwenda kupumzika usiku huu nakutakia mapumziko ya amani, kwa lugha ya kigeni ni rest in peace.

RIP kwa Erickb52, Madame B, Bishanga, Mtambuzi, cacico, nitonye na wengine woote
 
Last edited by a moderator:
yani nimeshtuka sana nimedhan mmoja wa wanasaf hii ame r.i.p, haya na wewe rest in peace
 
hello,
najua sasa ni usiku sana, wengi wenu mmechoka na mnaenda kupumzika sasa.

kiukweli kabisa nisingependa mkose amani ilhali mnapumzika, hivyo kwa kila anayekwenda kupumzika usiku huu nakutakia mapumziko ya amani, kwa lugha ya kigeni ni rest in peace.

RIP kwa Erickb52, Madame B, Bishanga, Mtambuzi, cacico, nitonye na wengine woote

Bhaeleze hao.
R.I.P na wewe pia...
 
Last edited by a moderator:
mweeh hizi lugha hizi...hivi unajua hako kamsemo huwa kanafupishwa tu ila ukikarefusha kidogo tu maana yake kuna watu umeshawapa cheo cha marehemu hapa CC...
 
Ututue we @smilling saint,
Cha kutaka kufa ucngzini kitu gani?

Na ole wako nife usiku huu,Utantambua.
 
hello,
najua sasa ni usiku sana, wengi wenu mmechoka na mnaenda kupumzika sasa.

kiukweli kabisa nisingependa mkose amani ilhali mnapumzika, hivyo kwa kila anayekwenda kupumzika usiku huu nakutakia mapumziko ya amani, kwa lugha ya kigeni ni rest in peace.

RIP kwa Erickb52, Madame B, Bishanga, Mtambuzi, cacico, nitonye na wengine woote
Nahisi wewe ni kigagula cha mlingotini,juu ya nini unajifanya ziraili?
 
Last edited by a moderator:
hello,
najua sasa ni usiku sana, wengi wenu mmechoka na mnaenda kupumzika sasa.

kiukweli kabisa nisingependa mkose amani ilhali mnapumzika, hivyo kwa kila anayekwenda kupumzika usiku huu nakutakia mapumziko ya amani, kwa lugha ya kigeni ni rest in peace.

RIP kwa Erickb52, Madame B, Bishanga, Mtambuzi, cacico, nitonye na wengine woote

Heheheeee nikafikiri tusharestishwa in peace aisee kidogo nianze maombolezo.
Asante sana Smiling Saint
Niko na mai waifu tunataka kujimuvuzisha in peace kwa raha zetu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom