R.I.P Rambo: Shujaa wa Watu wote

Mkuu hapo zamani wakati inaanza kuingia sokoni..mifuko hii ilikuwa na picha ya Silvester Stallone aka Rambo wakati huo yuko juu na sinema zake za kivita.
Dah... shukran bosi....tabu ya kukulia kijijini hii
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom