R.I.P Professor Njunwa, Mujwahuzi (Mzumbe University)

JF siku hizi imekua kama kijiji... yani kila mtu anadhani wooote tuna kila details so one can just start a story as if tupo kwenye mishkaki au t-shop

kweli uandishi kazi

peleka ufinyu wa mawazo huko uliko.....Hujui maana ya JF....Mod hebu mpatie tena maelezo ya kina kuhusu JF huyu mtu.
WEL R.I.P Prof ......wengi wanakukumbuka kwa namna tofauti tofauti...Yote kheri maana huwezi kuwa mtenda haki zaidi ya Mungu.....Kifo chake kimesababishwa na tatizo la Moyo.Habari zaidi Ocean road hospital wanaweza fafanua zaidi.

My sincere condolescence. Namkumbuka Prof. Njunwa vizuri sana. Ni kati ya maprofesa wachache waliokuwa poa pale Mzumbe.

Nini kimemkumba tena?? RIP Prof, Njunwa.

peleka ufinyu wa mawazo huko uliko.....Hujui maana ya JF....Mod hebu mpatie tena maelezo ya kina kuhusu JF huyu mtu.
WEL R.I.P Prof ......wengi wanakukumbuka kwa namna tofauti tofauti...Yote kheri maana huwezi kuwa mtenda haki zaidi ya Mungu.....Kifo chake kimesababishwa na tatizo la Moyo.Habari zaidi Ocean road hospital wanaweza fafanua zaidi.
Sikuona sababu ya kutoa povu, ninaunga mkono, kama ungetoa taarifa ya marehemu ni nani, anajulikana vp katika dunia ya elimu na tz kwa ujumla ingesaidia na sio kuandika kijimstari kimoja

JF siku hizi imekua kama kijiji... yani kila mtu anadhani wooote tuna kila details so one can just start a story as if tupo kwenye mishkaki au t-shop

kweli uandishi kazi

nataman kuielewa thread nimeshndwa. Au mwandsh ana uchungu sanat ameshndwa kuandka.

peleka ufinyu wa mawazo huko uliko.....Hujui maana ya JF....Mod hebu mpatie tena maelezo ya kina kuhusu JF huyu mtu.
WEL R.I.P Prof ......wengi wanakukumbuka kwa namna tofauti tofauti...Yote kheri maana huwezi kuwa mtenda haki zaidi ya Mungu.....Kifo chake kimesababishwa na tatizo la Moyo.Habari zaidi Ocean road hospital wanaweza fafanua zaidi.
si wote wanajua kafa, si wote wanamjua na si wote hupokea taarifa za msiba kirahisi... some of his relatives inawezekana walikua hawajui by the time hiyo post #1 inawekwa

ndivyo kwenu mnavyoweka taarifa za msiba?? by just sms RIP prof so and so??

wise up a little, and if you didnt know.... never step on anything soft, you may be in for a fooking surprise

Sikuona sababu ya kutoa povu, ninaunga mkono, kama ungetoa taarifa ya marehemu ni nani, anajulikana vp katika dunia ya elimu na tz kwa ujumla ingesaidia na sio kuandika kijimstari kimoja
Mkuu

achana na huyo, sio kila member wa JF ana akili timamu, wengine hapa ndio clinic yao na madaktari wanawapima kama wamepona

They missed a point, mtu huwezi kuleta habari za msiba kama vile unaleta results za soccer match; we need to grow up but not negatively like huyo mpuuzi hapo juu

Back
Top Bottom