Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
Ni pigo kwa wanataaluma wa elimu ya juu.
ni pigo kwa wanataaluma wa elimu ya juu.

JF siku hizi imekua kama kijiji... yani kila mtu anadhani wooote tuna kila details so one can just start a story as if tupo kwenye mishkaki au t-shop

kweli uandishi kazi
Sikuona sababu ya kutoa povu, ninaunga mkono, kama ungetoa taarifa ya marehemu ni nani, anajulikana vp katika dunia ya elimu na tz kwa ujumla ingesaidia na sio kuandika kijimstari kimoja

peleka ufinyu wa mawazo huko uliko.....Hujui maana ya JF....Mod hebu mpatie tena maelezo ya kina kuhusu JF huyu mtu.
WEL R.I.P Prof ......wengi wanakukumbuka kwa namna tofauti tofauti...Yote kheri maana huwezi kuwa mtenda haki zaidi ya Mungu.....Kifo chake kimesababishwa na tatizo la Moyo.Habari zaidi Ocean road hospital wanaweza fafanua zaidi.

JF siku hizi imekua kama kijiji... yani kila mtu anadhani wooote tuna kila details so one can just start a story as if tupo kwenye mishkaki au t-shop

kweli uandishi kazi
si wote wanajua kafa, si wote wanamjua na si wote hupokea taarifa za msiba kirahisi... some of his relatives inawezekana walikua hawajui by the time hiyo post #1 inawekwa

peleka ufinyu wa mawazo huko uliko.....Hujui maana ya JF....Mod hebu mpatie tena maelezo ya kina kuhusu JF huyu mtu.
WEL R.I.P Prof ......wengi wanakukumbuka kwa namna tofauti tofauti...Yote kheri maana huwezi kuwa mtenda haki zaidi ya Mungu.....Kifo chake kimesababishwa na tatizo la Moyo.Habari zaidi Ocean road hospital wanaweza fafanua zaidi.
MkuuSikuona sababu ya kutoa povu, ninaunga mkono, kama ungetoa taarifa ya marehemu ni nani, anajulikana vp katika dunia ya elimu na tz kwa ujumla ingesaidia na sio kuandika kijimstari kimoja