R.I.P: Mustapha Ngosha of DDC Mlimani Park | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

R.I.P: Mustapha Ngosha of DDC Mlimani Park

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Rungu, Jan 3, 2011.

 1. Rungu

  Rungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 3,873
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  DSC00284.JPG
  [FONT=&quot]Mwanamuziki mpiga Bass wa DDC Mlimani Park Orchestra, ambaye alijulikana kwa jina maarufu la Ngosha atazikwa kesho saa 10 Magomeni. Ngosha alijiunga na DDC Mlimani Park miaka ya mwanzoni ya 90, akiwa anajulikana kama Charles John Ngosha, baadae alibadili dini na Kuslim na kupewa jina la Mustafa.

  Mwili wa marehemu umehifadhiwa Amana Hospital Ilala, na msiba utakuwa Magomeni katika maeneo ya kituo cha Bi Nyau, karibu na ukumbi wa DDC Magomeni.

  Source: Wanamuziki wa Tanzania blog

  [/FONT]
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,774
  Likes Received: 83,114
  Trophy Points: 280
  RIP and thanks for good memories
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  RIP Mzee Ngosha!
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  RIP, mbona hawa wakuu wamuziki wanaondoka
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  RIP mzee wa kuongea na bass guitar
   
 6. chiko

  chiko JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mungu amueke pema Peponi!!!!!!!, Poleni wafuasi wa "WANASIKINDE"
   
Loading...