R.i.p Maiko

Mkumbavana

Member
Jan 24, 2012
79
22
Amefariki kwa ajali ya pikipiki alipokua ametoka hospitali kumpelekea mke wake chakula aliyelazwa kwa uchungu wa kujifungua,Mwaka jana alimfukuza mke wake mwingine aliyeish naye kwa miaka 3 na kumuoa mke huyu.Ni jirani yangu kijana wa miaka 25
 
Pole sana mkumba pia usisahau kumpa tena pole mke wake mwingine baada ya malaria ajali zimekua ndio chanzo cha kifo kingine.
 
Inasikitisha.
Natoa pole kwa mtoto mtarajiwa. zaid sn pole kwa mke wake.
 
Pole kwa mke wa zamani na mke mpya,pia pole sana kwa watoto waliaochwa,Ndugu jamaa na marafiki
 
Poleni wafiwa.. Ila ni vizuri mtueleweshe alikuwa ni nani huyu Marehemu..
 
Ingekua poa kama ungetuambia nyumbani wapi ili wana jamvi tulio karibu tujumuike kuja kumuaga maiko .
 
Pole sana mkumba pia usisahau kumpa tena pole mke wake mwingine baada ya malaria ajali zimekua ndio chanzo cha kifo kingine.
Mkuu, labda umalizie kabisa kuwa ajali za Bodaboda!
Leo yenyewe nimeshuhudia ajali ya bodaboda. jamaa wa gari- ya ofisi yangu alikuwa mbele ya boda2 akiwa ameonyesha indiketa ya kupinda kushoto. BOda2 hakupunguza mwendo ili kuruhusu gari hii iondoke mainroad, akaja na moto wake hadi nyuma ya gari na kujipigiza. Bodaboda ni wakala wa vifo.
 
R.I.P Maiko ila kusema ukweli hawa jamaa wa boda2 ni wazembe sana juzi hapa kuna mwengine kavamia kibao cha shule...
 
Amefariki kwa ajali ya pikipiki alipokua ametoka hospitali kumpelekea mke wake chakula aliyelazwa kwa uchungu wa kujifungua,Mwaka jana alimfukuza mke wake mwingine aliyeish naye kwa miaka 3 na kumuoa mke huyu.Ni jirani yangu kijana wa miaka 25

pole kwa msiba!hapo kwenye red umenikumbusha kitu kimoja hivi!
kweli nionyeshe jirani/rafiki zako nitakwambia wewe ni nani!
but still pole sana Mkumbavana
 
Last edited by a moderator:
jamaa aliwahi kuoa huyu (RIP) kwa haraka haraka ni kama alioa na miaka 20 hivi kitu ambacho kwa vijana wa mjini ni tabu kidogo.
 
Ndo hiyo ajali iliyotokea tabata muslim? maana jamaa yangu kanisimulia kuhusu ajali ya bodaboda leo saa4 asb? Polen wafiwa.
 
Back
Top Bottom