R.I.P.Madiba lakini... !

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,795
Tuko kwenye kipindi cha maombolezo ya kuondokewa na jabali la Afrika na Dunia kwaujumla, mzee Mandela ambaye amefanya mengi ya kutukuka na anastahili yote mwema anayostahili

Kila mahali sasaivi ni habari za mzee huyu, kila mtu anaongea analolifahamu yote mazuri sisikii baya lake hata moja, pengine watu wanaogopa kuwa watazodolewa
Mimi naomba niwe tofauti nao, Madiba alimnyanyasa Winnie Mandela mkewe wa ndoa kwa maneno ya kuambiwa na kusikia

Tukumbuke baada ya madiba kutupwa gerezani kifungo cha maisha, winnie alichukua usukani wa mapambano kwa miaka 27 mpaka Mandela alipoachiwa huru

Pamoja na ukatili mkubwa wa wazungu waliowafanyia watu weusi Mandela alitafuta suluhu na kuwasamehe wote waliomtendea mabaya yeye na waafrika kusini weusi, alitangaza msamaha hadharani
Kitendo dhiki kikapongezwa duniani kote, lakini hakuna hata mmoja aliyeinua Mdomo wale na kumuuliza kama aliweza kuwasamehe wazungu walifanya kila aina ya ubaya iweje ashindwe kumsamehe mkewake? Hata kufikia kumtaliki?

Hakika Winnie ni binadamu kama wengine ana mapungufu yake na hakika asingeweza kukaa bila mzizi kwa miaka 27 mzee akiwa gerezani, lakini mazuri yake yote yakafunika na baya moja tu akalimwa talaka ya dharau

Winnie ni mwanamke wa shoka aliweza kuhimili na kusimama imara baada ya talaka ile na kashfa zote zilizofuata, ni role model wa wanawake wengi waishio kwenye unyanyapaa wa wanaume wengi
Tunapomkumbuka Madiba tusisahau kosa hili ambalo lilitia doa kubwa kwenye msamaha wake na wazungu
 
Mwanaume kamwe hawezi kusamehe dhambi ya usaliti

madiba alikua mwanaume kama wanaume wengine
 
....mkuuu....wakati mwingine intelijensia humshauri mkuu wa nchi mambo ya mapenzi,,,, kwa mema. usilolijua ni usiku wa giza..
so kama vipi,, kaa kimya.
 
U don't know the whole story so sht up..!
 
.....whole,,,
...............little.......
........................or no story at all.......wont change a thing.

we are celebrating his life..

so if you dont mind.. YOU SHUT YOUR HELL UP..!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hahahaaaaa sawa mkuu ..!don get so upset maisha yenyewe yako wapi? Madiba mwenyewe keshakufa halafu yuko kilometa elfu nyingi toka Hapa tulipo
 
Kwahiyo wanaume wameumbwa na roho ya ukatili?...... Ubinafsi tuu

Kwa hiyo unataka uliwe halafu usamehewe?? Kwanza mwanaume kuwa na mwanamke nje ya ndoa ni crime against morality sio mkewe upo hapo?? Lakini kwa mwanamke ni both.
 
Tuko kwenye kipindi cha maombolezo ya kuondokewa na jabali la Afrika na Dunia kwaujumla, mzee Mandela ambaye amefanya mengi ya kutukuka na anastahili yote mwema anayostahili

Kila mahali sasaivi ni habari za mzee huyu, kila mtu anaongea analolifahamu yote mazuri sisikii baya lake hata moja, pengine watu wanaogopa kuwa watazodolewa
Mimi naomba niwe tofauti nao, Madiba alimnyanyasa Winnie Mandela mkewe wa ndoa kwa maneno ya kuambiwa na kusikia

Tukumbuke baada ya madiba kutupwa gerezani kifungo cha maisha, winnie alichukua usukani wa mapambano kwa miaka 27 mpaka Mandela alipoachiwa huru

Pamoja na ukatili mkubwa wa wazungu waliowafanyia watu weusi Mandela alitafuta suluhu na kuwasamehe wote waliomtendea mabaya yeye na waafrika kusini weusi, alitangaza msamaha hadharani
Kitendo dhiki kikapongezwa duniani kote, lakini hakuna hata mmoja aliyeinua Mdomo wale na kumuuliza kama aliweza kuwasamehe wazungu walifanya kila aina ya ubaya iweje ashindwe kumsamehe mkewake? Hata kufikia kumtaliki?

Hakika Winnie ni binadamu kama wengine ana mapungufu yake na hakika asingeweza kukaa bila mzizi kwa miaka 27 mzee akiwa gerezani, lakini mazuri yake yote yakafunika na baya moja tu akalimwa talaka ya dharau

Winnie ni mwanamke wa shoka aliweza kuhimili na kusimama imara baada ya talaka ile na kashfa zote zilizofuata, ni role model wa wanawake wengi waishio kwenye unyanyapaa wa wanaume wengi
Tunapomkumbuka Madiba tusisahau kosa hili ambalo lilitia doa kubwa kwenye msamaha wake na wazungu

Am for Winnie forever
 
Bandiko lako limefundisha nini.....

1; Mandela alikuwa biased katika kusamehe
2; unyanyapaa dhidi ya wanawake
3; ushupavu na ujasiri wa Winnie
4; ushenzi wa wazungu dhidi ya weusi
Kumbuka Winnie alipambana as single Handle bila Mandela kwa Miaka 27, wazungu wakamshindwa, wakaona ukombozi wa mweusi unakuja, Winnie akiwa kachangia pakubwa, wakaamua watengeneze kitu kitakachomuacha Mwana mama shupavu Winnie na maumivu ya milele- kumtengenezea kashfa ya ngono
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom