R.I.P beautiful young gal

stardust JK

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
2,976
4,204
fe4e64224d0b2df133adfa5b3410bf2b.jpg
mungu akulaze mahala pema
 
R.I.P binti yetu. Hukustahili kufa,hii ni kazi shetani. Atazikwa wapi,napenda nishiriki mazishi kama itawezekana
 
Japo ameshatangulia mbele ya haki ila kinachonishangaza kama siyo kunisikitisha tu ni kwamba mpaka sasa haijulikani anasoma Chuo gani na anaishi wapi isipokuwa kila mmoja anatiririka na anaserereka ajuavyo Yeye.
Alikuwa ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuo cha National institute of transport ( NIT)


Alifariki akiwa kwenye daladala la kutokea mabibo kwenda makumbusho ili apeleke maombi ya field Bagamoyo
 
Ni mwanafunzi wa NIT mwaka wa kwanza
Bachelor degree in procurement and logistics management

Aliyeleta taarifa wa Kwanza kabisa kwa ' Kiherehere ' chake alituaminisha kabisa kwamba alikuwa ni Mwanafunzi wa UDSM na nina wasiwasi muda si mrefu kuna Watu watakuja na kusema ni Mwanafunzi wa TEOFILO Kisanji na wengine VETA Keko na hata wa KAM College.
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom