Quran na Biblia zinahimiza kuoga Janaba.

Status
Not open for further replies.

Mahmood

JF-Expert Member
Feb 9, 2008
7,909
2,477
Biblia inasema;

"Kama mwanamume yeyote akitokwa na shahawa yake, ni lazima aoge mwili mzima kwa maji..(Walawi 15:16 (BHN))

Quran inasema;

Enyi mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni. Na mkiwa na janaba basi ogeni..(Quran 5:6)
 
Hawa jamaa zetu waendekeza SHORT TIME huwa wanakumbuka kweli kuondoa JANABA??? Subiri waamke WATAALAM tusikie uzoefu wao:)
 
Biblia inasema;

“Kama mwanamume yeyote akitokwa na shahawa yake, ni lazima aoge mwili mzima kwa maji..(Walawi 15:16 (BHN))

Quran inasema;

Enyi mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni. Na mkiwa na janaba basi ogeni..(Quran 5:6)
.Hawa wana kunya hawanawi(hawachambi) wanakojioa hawanawi vipi waoge janaba?
 
Biblia inasema;

“Kama mwanamume yeyote akitokwa na shahawa yake, ni lazima aoge mwili mzima kwa maji..(Walawi 15:16 (BHN))

Quran inasema;

Enyi mlio amini! Mnapo simama kwa ajili ya Sala basi osheni nyuso zenu, na mikono yenu mpaka vifundoni, na mpake vichwa vyenu, na osheni miguu yenu mpaka vifundoni. Na mkiwa na janaba basi ogeni..(Quran 5:6)

Kwaiyo unataka kusemaje?
 
kheri janaba la mwili,kuliko janaba la rohoni.
ushauri tuoshe majanaba ya mwili, na roho pia.
 
"Kama mwanamume yeyote akitokwa na shahawa yake, ni lazima aoge mwili mzima kwa maji. ...
Hivi hilo nalo linahitaji hadi litajwe kwenye biblia na kurani? Kwa hiyo mpagani haitaji kuoga? Waisilamu bana, huwa siwaelewi elewi!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom