nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,515
- 20,005
asante,ila nakushauri uachane na upuuzi huu wa kiarabu na wale wakristo waache upuuzi wao wa kizunguNitajibu kwa mujibu wa kiislamu tu.
Issa aliitwa bin Maryam kwa sababu hakuzaliwa kibaolojia kama wanandamu wengine kwa maana ya baba na mama kuunganisha mbegu za uzazi. Hivyo kwa mujibu kwa qur-an ALLAH anaposema jambo kuwa basi hilo jambo linakuwa( kun fayakun) . Kama vile alivyomuumba Adam hakuwa na mama wala baba ila aliweza kuwa banadamu wa kawaida tu.
Kutokana na kisa cha Issa bin Maryam ndio maana wale watoto wanaozaliwa bila wazazi kufunga ndoa mpaka leo kwenye uislamu huwa mtoto anapewa ubin wa mama yake na baba mzazi anakuwa hana haki naye kisharia. Kama ni mtoto wa kike hawezi kumuozesha wala huyo mtoto hawezi kupata mirathi ya huyo baba yake.
Naomba niishie hapo kwa leo.
hakuna ushahidi wowote kuwa vitabu hivi vilikuwa inspired na mungu,nothing,nada,zero
mtu yoyote anaweza kuandika kitu chochote na akapata wajinga wengi wasiofikiria