Quiz - Utawatambuaje Adam na Hawa?

SMU

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
9,616
7,863
Swali:

Inasadikika kwamba Adam na Hawa ndio binaadamu wa mwanzo.Baada ya uasi pale bustanini walilaaniwa na wote baadae walikufa.

Endapo wafu wote watafufuka leo hii na ukatakiwa uwatambue Adam na Hawa, je utatumia vigezo/kigezo gani kuwatambua?

Assumption:
Mtu akifa hazeeki tena. hivyo akifufuka atarudia umbo na hali aliyokuwa nayo wakati anakufa

Kazi kwenu!
 
Duh, ukiacha adam na hawa, vi-neonates vilivyokuwa premature vitapata taab! Vitakuwa havijakua?
 
Swali:

Inasadikika kwamba Adam na Hawa ndio binaadamu wa mwanzo.Baada ya uasi pale bustanini walilaaniwa na wote baadae walikufa.

Endapo wafu wote watafufuka leo hii na ukatakiwa uwatambue Adam na Hawa, je utatumia vigezo/kigezo gani kuwatambua?

Kazi kwenu!
duh!!inamaana watakua naked au??Itakua balaa maana HAWA lazima alikua bomba sana mpaka Adam akashindwa na shetani!!mimi ntamtambua Adam kwa ugomvi wa kumpigania HAWA na HAWA nitamtambua kutokana na idadi kubwa ya majamaa watakaokua wanamsalandia!!Hapo vipi mwanewane??
 
Hapana Mzee. Lakini napenda jinsi unavyofikiria :)!
 
Utawatambua kwa matendo yao tu, kwani watakuwa wakimtafuta sana nyoka ili wamuue kwa sababu ndio alisababisha shida zote hadi wakafukuzwa kwenye Bustani ya Sir GOD, so ukiona mwanaume anaulizia nyoka uje ni adam na demu anaulizia nyoka ujue ni Eva,
upo hapo, kama unabisha thibitisha, sasa je huna kitu
 
Hawana vitovu. Period.

Una akili sana! Kwa kuwa hawa waumbwa moja kwa moja tokana na udongo na kupuliziwa pumzi ya Mungu kwa hiyo hawakuzaliwa! Hawatakuwa na vitovu!

You must be geneous!
 
I am 100% sure that they will not be among blacks, indians or chinese.
 
Una akili sana! Kwa kuwa hawa waumbwa moja kwa moja tokana na udongo na kupuliziwa pumzi ya Mungu kwa hiyo hawakuzaliwa! Hawatakuwa na vitovu!

You must be geneous!

Thanks, but WE are all GENIUSES in our on ways. God bless.
 
You must be geneous!

Pre-learnt & pre-meditated knowledge , ndio u-genius? Au Jokes & Utani kila kitu kinakwenda upside-down?.. :D

Hata hivyo, explain to me Adam & Eve hawakuwa na vitovu halafu sisi generation zilizofuata tunavyo? How did it 'evolved'?

Mtaalam Saikosis tutoe tongotongo..
 
Kwa kuwa kuna imani kuwa mtu atafufukia pale alipokuwa wakati anafariki, basi hawa watakuwa karibu sana na Eden!!

Lakini tukizingatia kuwa hawa ndio wazazi wa kila mtu aliyewahi kuumbwa, basi wakifufuka watakuwa katikati ya mduara wakizungukwa na watoto wao wote!
 
Back
Top Bottom