Quick Recovery ndugu Hamad Rashid

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
2,000
Ndugu Rashid Hamad Mbuge kupitia Chama cha CUF sasa anaendelea vyema baada ya kufanyiwa OPeration huko Nchini India .Kwa kuwa ndugu Hamad amekuwa mtetezi wa Taifa la Tanzania , na sasa anaumwa tumuombee heri arudi salama na aendelee na kazi yake ya kuongoza Upinzani Bungeni. Kwa sasa ndugu Slaa atakuwa kiongozi wa muda kwa kuwa ndiye Makamu wake .

Kwa mara nyingine kila jambo jema ndugu Hamad
 
Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,178
2,000
MOLA AKUPE UZIMA WENYE AFYA TELE.

UREJEE USHIRIKIANE NA WATANZANIA WENZIO KATIKA KULETA MAENDELEO YA TAIFA LETU KIPENZI TANZANIA
 
Shalom

JF-Expert Member
Jun 17, 2007
1,315
1,250
MOLA AKUPE UZIMA WENYE AFYA TELE.

UREJEE USHIRIKIANE NA WATANZANIA WENZIO KATIKA KULETA MAENDELEO YA TAIFA LETU KIPENZI TANZANIA

Hiyo rangi nyekundu ili uonekane au ?. Wenye tabia zakupenda kuwa kutambulika tambulika mara nying ni hao kaka zetu wavaa sketi!
 
Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,178
2,000
hiyo ni rangi ya bahati na mapenzi, kumbe hujui maana ya rangi kaka salome.

ama kuonekana bila ya rangi mie huonekana.

hayo mengine yako mwenyewe, na mwaka huu hata bado utazidi kugugumia mazito nyama weeeeeeeeeee
 
Engineer Mohamed

JF-Expert Member
Jul 27, 2007
453
0
Ndugu Rashid Hamad Mbuge kupitia Chama cha CUF sasa anaendelea vyema baada ya kufanyiwa OPeration huko Nchini India .Kwa kuwa ndugu Hamad amekuwa mtetezi wa Taifa la Tanzania , na sasa anaumwa tumuombee heri arudi salama na aendelee na kazi yake ya kuongoza Upinzani Bungeni. Kwa sasa ndugu Slaa atakuwa kiongozi wa muda kwa kuwa ndiye Makamu wake .

Kwa mara nyingine kila jambo jema ndugu Hamad

mungu ampe uzima wa haraka apone na yeye BI SOFIA SIMBA.
 
Engineer Mohamed

JF-Expert Member
Jul 27, 2007
453
0
MTU WA PWANI NA SHALOM...........

hivi mna nini watu wawili nyinyi,manake naona hamishi kurushiana maneno kama KHADIJA KOPA NA NASSMA KHAMIS au mnachukuliana huko mitaani?
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
10,228
2,000
uugua pole muhashimiwa hamad rashid ..tunayo imani kubwa kwako..inshaalah mwenyezi Mungu na mtume S.A.W waletao nema ndogondogo na zile kubwa kubwa..inshaalah..watakujali pona ya upesi..
 
Mr EWA

JF-Expert Member
Mar 15, 2007
332
225
Tunakuombea upate kupona na uwe na afya njema kwani tunakutegemea sana kutetea taifa letu kwani wengine wamekuwa kama hawaoni maovu ama pengine hawako TZ kifikra na pengine wako kimwili kwani hatawakiambiwa kuna tatizo wanasema hakuna tatizo labda wako nchi nyingine na sio hapa nchini.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom