Quick defn of Ufisadi

Nov 13, 2010
91
7
1. conduct or activity that playfully causes petty annoyance.
2. a tendency or disposition to tease, vex, or annoy.
3. a vexatious or annoying action.
4. harm or trouble, esp. as a result of an agent or cause.
5. an injury or evil caused by a person or other agent or cause.
6. a cause or source of harm, evil, or annoyance.
7. the devil.

Therefore Anna Makinda anaposema fisadi ni mwizi wa wake za watu, na si mwizi wa waume za watu ninamshangaa. Nadhani alimlenga yule mgombea wa Chadema
 
Uyu mama kwa upeo wake alikuwa right,na tutasikia mengi ndani ya miaka mitano
 
Fisadi umelinganisha na neno gani la kiingereza hata ukatoa ma definition ya kiingereza?

Kabla ya hilo neno kuchakachuliwa na wakenya lilikuwa na maana kama aliyozungumzia Anna Makinda.
 
Back
Top Bottom