Mkikuyu- Akili timamu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,310
- 7,464
Mutembei was signing a sale agreement. LC are signed between the beneficiary and the bank..As a rule banks do not offer LC if there is no money to transfer from the buyers account to the banks own LC account..Hahaha! Kwanza, soma nilivoandika kwenye hiyo comment yangu uliyoinukuu, 'hiyo LC haijapeanwa na benki yoyote ya Kenya' Pili, soma taarifa ya mada kabla ya kuchangia. Mutembei ndiye aliyekabidhiana hiyo Letter of Credit au wewe uliona wakurugenzi wa benki hiyo wakati walipokuwa wanaingia kwenye mkataba? Tatu, Indopower Solutions hawana hela yao wenyewe ya kununua korosho zenyewe, hiyo benki ambayo haijulikani jina lake ndio inawapa mkopo.
Yaani wewe upo zero kwa mambo ya finance..Eti mutembei apeane LC? Hahaha kwani yeye ni bank? Usinichekeshe bwana