Questions raised over $180m Tanzania cashew nut deal! Hapa kuna game inachezwa

M

MwendaOmo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2013
Messages
719
Likes
453
Points
80
M

MwendaOmo

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2013
719 453 80
Hiyo deal ni fake sana. Yaani MAgu anakurupuka tu na mambo ya kipuuzi. Huyo mtu broker tu. Hivi viongozi wa kiafrika wamelaaniwa. Kwanini broker wa Tanzania afungiwe korosho zake ilhali broker mgeni akubalike?
 
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
2,651
Likes
4,080
Points
280
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
2,651 4,080 280
Serikali haifanyi/Haitakiwi kufanya biashara kihuni namna hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara ya kihuni vipi? Balozi wa kenya pamoja na waziri wa Trade and industry walikua hapo korosho zikinunuliwa..Mu wache umbea, Tz opposition is very lazy and pointless
 
K

Kiparaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
395
Likes
21
Points
35
K

Kiparaa

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
395 21 35
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
7,104
Likes
5,728
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
7,104 5,728 280
Muwache umbea na taarab..Wewe kwako kajiado mteja akija na pesa cash anunue mbuzi zako unafuatilia anaishi wapi, bibi yake ni nani na anawatoto wangapi?
Haja yako ni kupokea pesa taslim sio kuchunga boma za wengine..Inaonekana haujafanya biashara wewe
Sasa wewe hapo umefanya biashara za aina gani kama hujui kwamba 'due diligence' kwenye mkataba wowote wa mamilioni ya hela kama hizi ndio jambo la muhimu zaidi ya hata malipo? Wewe unadhani hizi ni zile biashara zako za kununua na kupimiwa mapera kwenye ndoo? Chini ya sheria za 'Law of Contract' ukosefu wa kiungo muhimu cha 'due diligence' kutoka kwa pande zote mbili kwenye mkataba inatosha kufanya mkataba wenyewe kuwa 'null and void' yaani mkataba hewa. Ni wazi kwamba hujafanya biashara zaidi ya zile za kununua mapera na mapenesi mashambani na wala huna uelewa wa biashara za hela za maana zinazohitaji protocol zote kufatwa kwa umakini wa hali ya juu ili kuepuka loopholes na hasara zake.
 
V

vulcan

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
440
Likes
554
Points
180
V

vulcan

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
440 554 180
Hii "kampuni" ni broker pia, kuna mabwanyenye wametuma hawa watu kununua hizo korosho... usishtuke kwamba hao brokers ambao Magufuli alikataa wanunue sasa wamempiga chenga kupitia kampuni ya Kenya.
hii ni moto kama pasi nakwambia
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
7,104
Likes
5,728
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
7,104 5,728 280
Kwahiyo sisi inatuhusu nini mbona nyinyi dhahabu inayo ibiwa tz inakuja kwenu kuwanufaisha nasisi hatuna tatizo kama mkenya anaiba Kenya na kujakutumia tz

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea kuhusu nini wewe? Hivi majuzi walimkamata mtz Nairobi na dhahabu ambayo thamani yake ilikuwa ni 1M$. Mbona vitengo vya usalama vya Kenya havikumuacha aende zake kwasababu haikuwa mali ya Kenya? Hayo kando, kinachonishangaza ni serikali ya Tz kufanya biashara na kampuni ambayo ina physical 'address' feki na wamiliki wasioeleweka. Zaidi ya yote kampuni yenyewe haijakuwa kwenye biashara ya kununua korosho, hii ndio ilikuwa mara yake ya kwanza. Yaani intelligence ya Tz ipo ipo tu, imekomalia kwenye vita dhidi ya upinzani na wala sio kulinda mali na hadhi ya nchi .
 
lwiva

lwiva

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Messages
2,275
Likes
1,449
Points
280
lwiva

lwiva

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2015
2,275 1,449 280
Ni sawasawa na kusema ili MTU awegaidi ni lazima sikuzote afanye ugaidi
Unaongea kuhusu nini wewe? Hivi majuzi walimkamata mtz Nairobi na dhahabu ambayo thamani yake ilikuwa ni 1M$. Mbona vitengo vya usalama vya Kenya havikumuacha aende zake kwasababu haikuwa mali ya Kenya? Hayo kando, kinachonishangaza ni serikali ya Tz kufanya biashara na kampuni ambayo ina physical 'address' feki wamiliki wasioeleweka. Zaidi ya yote kampuni yenyewe haijakuwa kwenye biashara ya kununua korosho, hii ndio ilikuwa mara yake ya kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
2,651
Likes
4,080
Points
280
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
2,651 4,080 280
Sasa wewe hapo umefanya biashara za aina gani kama hujui kwamba 'due diligence' kwenye mkataba wowote wa mamilioni ya hela kama hizi ndio jambo la muhimu zaidi ya hata malipo? Wewe unadhani hizi ni zile biashara zako za kununua na kupimiwa mapera kwenye ndoo? Chini ya sheria za 'Law of Contract' ukosefu wa kiungo muhimu cha 'due diligence' kutoka kwa pande zote mbili kwenye mkataba inatosha kufanya mkataba wenyewe kuwa 'null and void' yaani mkataba hewa. Ni wazi kwamba hujafanya biashara zaidi ya zile za kununua mapera na mapenesi mashambani na wala huna uelewa wa biashara za hela za maana zinazohitaji protocol zote kufatwa kwa umakini wa hali ya juu ili kuepuka loopholes na hasara zake.
Watu wanahoji uhalali wa biashara unaita umbea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Balozi wa kenya pamoja na waziri walikua hapo mkataba ukipigwa saini..kwani serikali ya kenya pia ni ya kihuni? Ongeza volume ya taarab
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
7,104
Likes
5,728
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
7,104 5,728 280
Balozi wa kenya pamoja na waziri walikua hapo mkataba ukipigwa saini..kwani serikali ya kenya pia ni ya kihuni? Ongeza volume ya taarab
Kwani unawachukulia balozi na waziri kama miungu watu? Balozi Dan Kazungu tayari ameanza kujiuma ulimi. Wana maswali mazito ya kujibu na kama walihusika kwa njia yeyote ile kwenye production ya filamu hii nina imani kwamba mkono wa DPP Noordin Haji utawafikia.
 
K

Kidzude

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Messages
4,357
Likes
1,046
Points
280
K

Kidzude

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2011
4,357 1,046 280
Kwani unawachukulia balozi na waziri kama miungu watu? Balozi Dan Kazungu tayari ameanza kujiuma ulimi. Wana maswali mazito ya kujibu na kama walihusika kwa njia yeyote ile kwenye production ya filamu hii nina imani kwamba mkono wa DPP Noordin Haji utawafikia.
mkitaka kujitoa kwenye ngori, mcall back the ambass home. au tumeanza collaboration kwenye unyangau
 
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
2,651
Likes
4,080
Points
280
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
2,651 4,080 280
Kwani unawachukulia balozi na waziri kama miungu watu? Balozi Dan Kazungu tayari ameanza kujiuma ulimi. Wana maswali mazito ya kujibu na kama walihusika kwa njia yeyote ile kwenye production ya filamu hii nina imani kwamba mkono wa DPP Noordin Haji utawafikia.
The deal was signed on the sidelines of EAC heads of state summit. The kenyan delegation including the president knows about the deal and it would be such an embarassment that he brought thiefs and money launderers to his Tz counterpat..
Muache steam za kike
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
7,104
Likes
5,728
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
7,104 5,728 280
The deal was signed on the sidelines of EAC heads of state summit. The kenyan delegation including the president knows about the deal and it would be such an embarassment that he brought thiefs and money launderers to his Tz counterpat..
Muache steam za kike
Elewa vizuri kwamba Kenya rais huwa hajihusishi moja kwa moja kwenye masuala ya mazao ya wakulima kama ubanguaji na usafirishaji wa korosho. Kuna maofisi boi wake wa kufanya kazi hizo, maPS, mawaziri. Hiyo inaitwa 'delegation of duties'. Yaani rais Uhuru Kenyatta asafiri hadi Arusha kukagua korosho? Ila imenipendeza sana kuona kwamba akili zako zimerejea. Jana comment zako kwenye uzi huu zilikuwa za kuendeleza kauli yako kwamba bora pesa na eti umiliki wa kampuni yenyewe haiwahusu hata kidogo. Hahaha!
 
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Messages
2,694
Likes
2,649
Points
280
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined May 20, 2010
2,694 2,649 280
Kama ni fedha chafu hilo ni tatizo la wengine, sio Tz. Cha muhimu Tz tumelipwa pesa yetu tumewapa mzigo, kila siku matajiri wa Africa wanaenda kuficha pesa zao huko nje ila hawasumbuliwi sisi kiherehere cha nini tukatae pesa zisizo tuhusu.
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
7,104
Likes
5,728
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
7,104 5,728 280
Kama ni fedha chafu hilo ni tatizo la wengine, sio Tz. Cha muhimu Tz tumelipwa pesa yetu tumewapa mzigo, kila siku matajiri wa Africa wanaenda kuficha pesa zao huko nje ila hawasumbuliwi sisi kiherehere cha nini tukatae pesa zisizo tuhusu.
Jombaa serikali ya Tz imepewa Letter of Credit tu(LC), sio cheque wala pesa taslimu. Tena LC yenyewe sio kutoka kwa benki yeyote ya Kenya. Ole wenu kama tayari mmeshamkabidhi Mutembei Korosho zenu. Alafu hata hizo hela zinazofichwa nje ya bara hili na mafisadi huwa zinarudishwa. Hivi majuzi tu Kenya iliingia kwenye mkataba na UK, kwamba hela zote zilizonyakuliwa kifisadi na kufichwa huko zirejeshwe. Akaunti zenye hela hizo kwenye mabenki zimeshakuwa 'freezed'. Kuna sheria za kimataifa, usije ukadhani kuna mianya ya janja janja za ovyo ovyo ughaibuni.
 
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2010
Messages
2,694
Likes
2,649
Points
280
M

mtanzania1989

JF-Expert Member
Joined May 20, 2010
2,694 2,649 280
Jombaa serikali ya Tz imepewa Letter of Credit tu(LC), sio cheque wala pesa taslimu. Tena LC yenyewe sio kutoka kwa benki yeyote ya Kenya. Ole wenu kama tayari mmeshamkabidhi Mutembei Korosho zenu. Alafu hata hizo hela zinazofichwa nje ya bara hili na mafisadi huwa zinarudishwa. Hivi majuzi tu Kenya iliingia kwenye mkataba na UK, kwamba hela zote zilizonyakuliwa kifisadi na kufichwa huko zirejeshwe. Akaunti zenye hela hizo kwenye mabenki zimeshakuwa 'freezed'. Kuna sheria za kimataifa, usije ukadhani kuna mianya ya janja janja za ovyo ovyo ughaibuni.
GoT imepewa LC kama kigezo cha kuonyesha IndoPower wana uwezo wa kifedha kabla ya kutiliana sahihi mkataba. Mkataba ni fedha iingie BoT kwanza ndio mzigo utoke, sisi hasara yetu ni nini? Kama ni fedha ya kifisadi huko Kenya hayo ni matatizo yenu, sisi tumefanya biashara. Balozi wa Kenya alikuwepo pia kuonyesha baraka ya GoK, kila mtu abebe mzigo wako, matatizo yenu msilazimishe yawe ya Tz pia.
 
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
2,651
Likes
4,080
Points
280
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
2,651 4,080 280
Jombaa serikali ya Tz imepewa Letter of Credit tu(LC), sio cheque wala pesa taslimu. Tena LC yenyewe sio kutoka kwa benki yeyote ya Kenya. Ole wenu kama tayari mmeshamkabidhi Mutembei Korosho zenu. Alafu hata hizo hela zinazofichwa nje ya bara hili na mafisadi huwa zinarudishwa. Hivi majuzi tu Kenya iliingia kwenye mkataba na UK, kwamba hela zote zilizonyakuliwa kifisadi na kufichwa huko zirejeshwe. Akaunti zenye hela hizo kwenye mabenki zimeshakuwa 'freezed'. Kuna sheria za kimataifa, usije ukadhani kuna mianya ya janja janja za ovyo ovyo ughaibuni.
You have no idea what LC constitutes.. Its not issued by the buyer but by the bank and only to the full amount held by the bank on behalf of the buyer..legally that money $180m belongs to Tz now.
Even if the account was to be freezed, that money has already moved from indo power account to the bank's own LC ledger account..
You are so very uneducated boss
 
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
7,104
Likes
5,728
Points
280
pingli-nywee

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
7,104 5,728 280
You have no idea what LC constitutes.. Its not issued by the buyer but by the bank and only to the full amount held by the bank on behalf of the buyer..legally that money $180m belongs to Tz now.
Even if the account was to be freezed, that money has already moved from indo power account to the bank's own LC ledger account..
You are so very uneducated boss
Hahaha! :D Kwanza, soma nilivoandika kwenye hiyo comment yangu uliyoinukuu, 'tena LC yenyewe haijatoka kwa benki yeyote ya Kenya' Pili, soma taarifa ya mada kabla ya kuchangia. Mutembei ndiye aliyewakabidhi hiyo Letter of Credit au wewe uliwaona wakurugenzi wa benki hiyo wakiwa pamoja na balozi na mawaziri? Tatu, Indopower Solutions hawana hela yao wenyewe ya kununua korosho zenyewe, hiyo benki ambayo haijulikani jina lake ndio inawapa mkopo. Kwa ufupi, GoT inadai benki hela ambazo benki itadai Indo Power Solutions. Mutembei mwenyewe anakiri kwamba hela bado.
 
Forum statistics

Threads 1,262,034
Members 485,449
Posts 30,112,086