Vodacom M-Pesa API for Android/iOS/WP8/BalckBerry/Web?

Wadau hii kitu nilikuwa nafuatilia ila sijaona progress yoyote, kuna yoyote mwenye news kama vodacom TZ watarelease API yao ya M-pesa. Najua airtel wana public API's ila sijui kama zinawork TZ, na sifahamu kitu kuhusu tigo.
usipoteze muda kuhangaika kupata hiyo Interface, kama lengo ni kutengeneza application utakayo ruhusu kupokea malipo, tumia Bitcoin. Uzuri wa hii ni kwamba in escrow account, transactions zinafanyika salama (encrypted) , anonymous (hakuna taarifa binafsi Inayohitajika kutumia). Biashara nyingi mtandaoni zinapokea malipo kutumia Bitcoin. Mafanikio mema!
 
Mi nilipita wakaniambia lazima niende mwenyewe, alafu wakasema wakague app yangu waangalie na code ikiwezekana wacode wenyewe part inayodeal na payment. Nilishangaa sana hakuna sababu whatsoever ya kufanya kitu kama hicho.
Duh! now this is a big serious problem aisee!
 
Back
Top Bottom