Quentin Tarantino ni bonge la director

once upon a mexico.anapendezea sana akimueka antonio banderas.
pia kwenye django unchained nilifurahi sana tarantino alivyoingizwa choo cha kike na jammie fox akakubali kumpa vifaa vya vita afu jammie akamlipua fasta.ni director pia ni bonge la actor kama alivyokuwa na cloney kwenye from dusk tilldown part1.
Anaigiza pia, hata kwenye Reservoir dogs yupo.
 
Huyu jamaa anajua sana. Style yake ni ya kipekee sana.
Namkubaligi jinsi anavyokuza mambo. Unakuta kakitu kadogo lakini watu watakajadili kirefu. Pia movie zake hazitabiriki na zina violence za kutisha.

Nilikuwa naangalia Once upon a time in hollywood nikasema "afadhali hii aina violence za kikatili" kufika mwishoni ikabadilika vibaya mno. Movie gani ilikufanya umkubali huyu jamaa? Django unchained, The hateful eight ,Pupl fiction au........
Sijaangalia hiyo one upon a time in Hollywood sababu najua inahusu mauaji aliyofanya Charles Manson si ndio?

Nikipata ujasiri ntaiangalia.
 
Sijaangalia hiyo one upon a time in Hollywood sababu najua inahusu mauaji aliyofanya Charles Manson si ndio?

Nikipata ujasiri ntaiangalia.
Inahusu hiyo story kiidea tu lakini ipo tofauti sana. Humu hata hiyo Manson family haipo bali ni mahippie fulani ndiyo walikuwa wanaenda kufanya mauaji na kibao kikawageukia.
 
Director Ridley Scott leo nimecheck Movie yake moja Rembo Tv inaitwa EXODUS ya Moses aliyowatoa wana wa Israel Misri aisee ni balaa yale mapigo unaona kama kweli
Director Ridley anajua sana huyu mzee, huyu pamoja na yule James Cameron, hawa huwa nawaona kama wanaishi kwenye sayari waijuayo wenyewe, zile idea sijui huwa wanawaza nini kutengeneza movie za dizaini ile..
Mfano hizi za Ridley Scott
Alien Covert
The Martian
Gladiator
Prometheus
The A Team
Exodus Gods and Kings
The Counselor
American Gangster
 
Back
Top Bottom