Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,711
- 4,642
South Africa, kuna Scene Kadhaa za Tanzania(Zanzibar), Kenya, Congo, e.t.cQueen sono series ya nchi gani?
South Africa, kuna Scene Kadhaa za Tanzania(Zanzibar), Kenya, Congo, e.t.cQueen sono series ya nchi gani?
Mtunzi mzuri anaweza akaweka vitu ambavyo havina uhalisia lakini bado vikawa na logic..., mfano kwenye dunia yenye dragons (mfano game of thrones) au kwamba binadamu wote tunaishi kwenye make believe mfano the matrix au dunia ya machines ambayo inaona yote na ku-predict the future mfano (Person of Interest)Napoangalia series naangalia
1. Uhalisia
2. Maudhui
3. Characters
Series ikiwa ya kipumbavu ikakosa uhalisia....yaani uongo ambao hauna logic inanikwaza sana. Sterling anapopewa uwezo wa kupitiliza naona pia ni ujinga kwangu. Series ambayo naweza itabiri kirahisi pia huwa naona ni upuuzi to watch
Tatizo mkuu series nyingi season ya kwanza ndo huwa kali ila huwa wanashindwa tu ku relate na mwendelezo.Duniania kuna series tatu tu hayo mengine mwajisumbua...
- Games of thrones
- Prison break
- 24
Condor s2 ninayo,homeland ninayo missing ninayo ila sijaicheck kwangu si ya kawaida tu
Condor season 2 tayari.Missing haikunivutia. Homeland naifuatilia vizuri
apa umenikosha jaman acha hii kitu n tam balaaaNgoja nikupeleke China tafuta Ode to joy yenye eng subtitle utajifunza mengi sana.
Hiyo 3days inahusiana na Nini?Daah mkuu Power mwaipendea nini? Naona series zanye nuditu mnaziaifia sana. Hiyo lost ndio hovyo kabisa.. Umeona hii ya kikorea inaitwa 3day
Wengi hawajaiona Rome wakina Lucious Mellinous wakina King Cesar .....Rome ni bonge moja la series kuliko hata Got au VikingsHujawahi angalia series ndo maana. Huifahamu hata Breaking Bad? Huhifahamu The Carnival, Rome etc. Hizo ulizotaja ni Series za walioiga iga kuangalia series. Kwa sisi wakongwe tuna series nyingi sana bora zaidi ya hizo. Hata OZ. huhifaham... Acha wanaojua Series wakuambie.
1. Game of thronesDuniania kuna series tatu tu hayo mengine mwajisumbua...
- Games of thrones
- Prison break
- 24
Ya Kiboya tu, bora hata ya the next 3 daysHiyo 3days inahusiana na Nini?
4.Money heistDuniania kuna series tatu tu hayo mengine mwajisumbua...
- Games of thrones
- Prison break
- 24
Hii nmeiona zamani sana miaka ya 2000sWengi hawajaiona Rome wakina Lucious Mellinous wakina King Cesar .....Rome ni bonge moja la series kuliko hata Got au Vikings
Ya kitoto4.Money heist
Haha, sci-fi ya nguvu hii! 👌Kuna ingine inaitwa Marvel's angel of shield
Naipenda niliifumania startimes but wamekatisha naipatajeNgoja nikupeleke China tafuta Ode to joy yenye eng subtitle utajifunza mengi sana.