Queen Sono another stupid TV series...

Napoangalia series naangalia
1. Uhalisia
2. Maudhui
3. Characters
Series ikiwa ya kipumbavu ikakosa uhalisia....yaani uongo ambao hauna logic inanikwaza sana. Sterling anapopewa uwezo wa kupitiliza naona pia ni ujinga kwangu. Series ambayo naweza itabiri kirahisi pia huwa naona ni upuuzi to watch
Mtunzi mzuri anaweza akaweka vitu ambavyo havina uhalisia lakini bado vikawa na logic..., mfano kwenye dunia yenye dragons (mfano game of thrones) au kwamba binadamu wote tunaishi kwenye make believe mfano the matrix au dunia ya machines ambayo inaona yote na ku-predict the future mfano (Person of Interest)

Tatizo ni pale hizo plot zinapoendana tofauti na logic zilizojiwekea
 
Movie angalia yote afu ndio utoe judgment mtu anaangalia series Ina season nane afu yy anaangalia season one episod kadhaa afu anakuambia movie mbaya ,kuna movie zingine zinaanza baridi afu mbele ndio kuna moto kwa mfano movie kama Viking,Got peaky blinder zinaanza vibaya lakini uko mbele ni shida
 
Hujawahi angalia series ndo maana. Huifahamu hata Breaking Bad? Huhifahamu The Carnival, Rome etc. Hizo ulizotaja ni Series za walioiga iga kuangalia series. Kwa sisi wakongwe tuna series nyingi sana bora zaidi ya hizo. Hata OZ. huhifaham... Acha wanaojua Series wakuambie.
Wengi hawajaiona Rome wakina Lucious Mellinous wakina King Cesar .....Rome ni bonge moja la series kuliko hata Got au Vikings
 
Duniania kuna series tatu tu hayo mengine mwajisumbua...
  1. Games of thrones
  2. Prison break
  3. 24
1. Game of thrones
2. Spartacus
3. Jumong
4. Chuno

Ila GOT hakunaga kama hii kitu, haitokaa itokee
 
Back
Top Bottom