QUEEN MONICA: Story yenye mambo ya kijasusi ndani yake

m
Niseme tu Lege hicho kitabu kama kinapatikana niko tayari nikipate kwahiyo nifanyie mchakato mkuu wewe mwenyewe unajuaga Uraibu wa hii kitu sasa mimi nao zaidi ya miaka 13 kwa hii story ya mtuhumiwa
mkuu labda nikuazime then unirudishie
 
m

mkuu labda nikuazime then unirudishie
Mkuu vipi, kwema? Nimekuja mbio nikidhani umekuja kutiririsha. Mungu akuepushe na yote yanayosababisha ushindwe kuweka muendelezo. Tunaendelea kusubiri huku tukikuombea.
 
Mkuu vipi, kwema? Nimekuja mbio nikidhani umekuja kutiririsha. Mungu akuepushe na yote yanayosababisha ushindwe kuweka muendelezo. Tunaendelea kusubiri huku tukikuombea.
Umekuja mkuki, kama unamkimbiza unaemdai

Hawa watu kazi yao ni kutuumiza mioyo, usiiwekee ratiba tena.

Mimi niko soba hausi, badala ya hizi stori nsjifunza kuangalia picha na series za kikolea
 
Sijaanza kuisoma nimeipangia weekend moja ijumaa to jumapili 24 hours ntaikamia mpaka iishe
 
Ni story nzuri sana, matukio yamepangiliwa vizuri, kuna exaggeration kwenye kiasi cha fedha (hakiakisi uhalisi).

LEGE endeleza Mkuu, IPO vizuri sana hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom