Queen Cuthbert Sendiga: "Nitahakikisha wagombea urais wote waliojitokeza kuwania wanapata nafasi ndani ya serikali yangu

Mambo vp jamiiforums

Hongera sana dada yangu kipenzi Queen Cuthbert Sendiga kutoka chama cha ADC kwa kuchaguliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa (RC) wa Iringa. Mungu akakusimamie na kukupa muongozo sahihi kwa kuwatumia watanzania waishio katika mkoa huo.

Mama yetu kipenzi Rais Samia alisema atajumuisha watanzania wote katika uongozi wake bila kuangalia itikadi za vyama na hakika amefanya hivyo. Hongera sana Rais Samia Hassan. RC Queen tuna imani kubwa na wewe, usiwaangushe ndugu zetu wa Iringa.
==========
View attachment 1786016
==========
Wadau Facebook September 2020;

View attachment 1786020
==========
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
ILA AWE MWANGALIFU KULE IRINGA SIYO KUZURI. WATU WA IRINGA NI WAZURI SANA ILA UKIWAZINGUA WANAKUZINGUA KWELIKWELI. HAWACHELEWI KUKULAZA MAKABURINI KAMA ILIVYOKUWA WA ALLY HAPPY
 
ILA AWE MWANGALIFU KULE IRINGA SIYO KUZURI. WATU WA IRINGA NI WAZURI SANA ILA UKIWAZINGUA WANAKUZINGUA KWELIKWELI. HAWACHELEWI KUKULAZA MAKABURINI KAMA ILIVYOKUWA KWA ALLY HAPPY

KUNA MKUU WA MKOA NDUGU KLERRUU ALIWAZINGUA WAKAMZINGUA JUMLA.
 
ILA AWE MWANGALIFU KULE IRINGA SIYO KUZURI. WATU WA IRINGA NI WAZURI SANA ILA UKIWAZINGUA WANAKUZINGUA KWELIKWELI. HAWACHELEWI KUKULAZA MAKABURINI KAMA ILIVYOKUWA KWA ALLY HAPPY

KUNA MKUU WA MKOA NDUGU KLERRUU ALIWAZINGUA WAKAMZINGUA JUMLA.
Mungu yupo na atamlinda dada Queen
 
Ccm wanapenda kuwafanya wenzao wajinga. Kama huyo dada aligombania urais ameteuliwa kua mkuu wa mkoa na amekubali basi ni mdogo sanaaa. Kwa maana nyingine hana sifa ya kua rais sidhani kama lisu,mbowe au Maalimu anaweza kushangalia teuzi ndogo kama hii.
Maalim huyu marehemu mpenda teuzi au unamzungumzia Maalim mwingine?
 
Back
Top Bottom