Que Sera, Sera...

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,525
1,523
When I was just a little girl,I asked my mother, "What will I be? Will I be pretty?
Will I be rich?" Here's what she said to me:

"Que sera, sera, Whatever will be, will be; The future's not ours to see. Que sera, sera, What will be, will be."

When I was just a child in school, I asked my teacher, "What will I try? Should I paint pictures" Should I sing songs?" This was her wise reply:

"Que sera, sera, Whatever will be, will be; The future's not ours to see.
Que sera, sera, What will be, will be."

When I grew up and fell in love.I asked my sweetheart, "What lies ahead?
Will we have rainbows Day after day?" Here's what my sweetheart said:

"Que sera, sera, Whatever will be, will be; The future's not ours to see.
Que sera, sera, What will be, will be."

Now I have Children of my own. They ask their mother, "What will I be?"
Will I be handsome? Will I be rich?" I tell them tenderly:

"Que sera, sera, Whatever will be, will be; The future's not ours to see.
Que sera, sera, What will be, will be. Que Sera, Sera!"

Does this song speak about our country? Whatever will be will be? The future is not ours to see?

Have we lost all hope and an ounce of delivery from our leaders? Is the country now following the footsteps of our leaders who with high pitched voices filled with an after taste of wine, nyama choma and smell reproductive fluids declare "que sera sera"?

Everyday you read about malfunction of something in our system which sounds like another scheme to rape the country. When will this end? are we doomed?

I just read that TRA flow meters that are placed at our ports to detect quality and measure volumes of oil to determine amount of tax on oil imports are out of Order and TRA is back to old days of using deep sticks-vijiti.

I hear Kibadeni has a list of marefa wala rushwa and TFF is on defense about it.

In Mbinga, wananchi are asking for the head of DC and to be put on chopping block. When OCD was asked how come there are such allegations of incompetence tfrom your department, OCD's answer was that the increase of crime is due to maendeleo!

Gavana Ndulu anasema thamani ya Shilingi imekuwa, madafu is doing better than US Dollar and our exports earning have grown! Is Ndulu telling us Uchumi unapaa? How can uchumi paa is 10% of reported gross earnings were out of Kilimo which is 80% of ajira in Tanzania? Isn't it possible that devaluation of US dollar due to US economic crisis is the direct result of Shilingi appreciating against USD? what are the stats on Madafu versus Euro or Malkia (GBP)?

Okay, then there are stories about vipimo vya Ukimwi, Dawasco kuweka sumu and every page in every newspaper from home has same theme; malice, sadness, corruption, incompetence, Uhujumu, Ufisadi!

Que sera sera? Je ndivyo tulivyo? whatever will be, will be, Que sera sera?
 
Que sera sera? Je ndivyo tulivyo? what ever will be will be, Que sera sera?

Hmmm! Rev sikujua kama na wewe ni mkali wa zilipendwa...:) huo wimbo naupenda sana. Unajua kinachosikitisha zaidi ni kwamba Ndulu ni msomi hivyo anastahili kusema ukweli bila kuupindisha kuhusiana na kupanda thamani ya shilingi, lakini wapi inabidi pia adanganye umma wa Tanzania! Mwe! Juzi kaongea bila kufafanua kwamba hatakubali political pressures kutoka SK kama siku za nyuma bila hata ya kutoa ufafanuzi! Halafu tukiuliza kuna watu wanatwambia kuwa we're more PESSIMISTIC, we are not eligible to ask any question in regards to what is going on in our beloved country!
 
Bubu,

Sometimes the words you hear over time and so are the tunes bring reflection into your life.

Is Tanzania at a state of Que sera sera? Liwalo liwe? That is the sad reflection about the song to my reflection of Tanzania! It seems that hope for Mtanzania is becoming a distance as Pluto is to earth!
 
Does this song speak about our country? Whatever will be will be? The future is not ours to see?

Have we lost all hope and an ounce of delivery from our leaders? Is the country now following the footsteps of our leaders who with high pitched voices filled with an after taste of wine, nyama choma and smell reproductive fluids declare "que sera sera"?

Everyday you read about malfunction of something in our system which sounds like another scheme to rape the country. When will this end? are we doomed?

I just read that TRA flow meters that are placed at our ports to detect quality and measure volumes of oil to determine amount of tax on oil imports are out of Order and TRA is back to old days of using deep sticks-vijiti.

I hear Kibadeni has a list of marefa wala rushwa and TFF is on defense about it.

In Mbinga, wananchi are asking for the head of DC and to be put on chopping block. When OCD was asked how come there are such allegations of incompetence tfrom your department, OCD's answer was that the increase of crime is due to maendeleo!

Gavana Ndulu anasema thamani ya Shilingi imekuwa, madafu is doing better than US Dollar and our exports earning have grown! Is Ndulu telling us Uchumi unapaa? How can uchumi paa is 10% of reported gross earnings were out of Kilimo which is 80% of ajira in Tanzania? Isn't it possible that devaluation of US dollar due to US economic crisis is the direct result of Shilingi appreciating against USD? what are the stats on Madafu versus Euro or Malkia (GBP)?

Okay, then there are stories about vipimo vya Ukimwi, Dawasco kuweka sumu and every page in every newspaper from home has same theme; malice, sadness, corruption, incompetence, Uhujumu, Ufisadi!

Que sera sera? Je ndivyo tulivyo? whatever will be, will be, Que sera sera?

Hapana, Mchungaji. Tofauti ni kwamba sasa hivi yanaanikwa hadharani. Inaonyesha kuchoshwa kwa mwananchi wa kawaida na hali hii. Tutabadilika tu maana hatuna jinsi.
 
Fundi,

Lakini kutoa kwetu issue na kuanika mambo sio ndio yale maswali; "will I be pretty, Will I be rich, what lies ahead" na wao kwenye madaraka wanimba kwa sauti za juu "Que Sera sera, Whatever will be, will be, the future is not ours to see"? meaning nothing matters to them?
 
Hapana, Mkuu. Katika huu mwimbo anayemwambia mwanae "what ever will be...." anampa moyo mwanae kuwa lolote litakalokuwa watakuwa wote. Sisi hatujafika. Sisi swali tunalouliza ni Why am I not ric? Why am I not pretty.....? na jibu halijapatikana maana wazazi hawakutegemea kuulizwa hivyo badala yake ni kutuambia kuwa " Why are you worried?, be glad with what you have been given, the future will be much better for I have eyes to see (and you don't)!!!!"
 
VERY well put.
My sentiments exactly!
 
Watoto hupenda kuuliza wazazi au watu wazima maswali. Maswali mengine ambayo watu huzima huyaona ni "maswali ya kitoto". Wakati mwingine mtoto hurudia swali lile lile kiasi cha kumkera mzazi au mtu mzima. Inafikia mahali mzazi humkemea mtoto na kumwambia "nimeshasema ni hivi, mbona husikii?" Mtoto hujikuta hunywea na matokeo yake anapopata maswali inabidi ajiulize mara mbili kama amuulize baba au mama au mtu mzima mwingine.

Matokeo ya namna hii yanamfanya mtoto kuwa mwoga na kuanza kutafuta majibu nje ya wazazi wake au watu wale anaowaamini. Katika Saikolojia ya watoto maswali ya mtoto hujulikana kama "kipindi cha kujifunza". Mtoto anapoanza kutafuta maswali nje ya familia na wazazi ndivyo hivyo hivyo majibu anayoyapata yataanza siyo tu kupingana lakini pia kumchanganya na matokeo yake unapofikia umri wa balehe vionjo huingilia kati mantiki na matokeo yake hivi viwili vinaanza kupingana na mtoto huanza kufuata vionjo vyake.

Ni maswali yale ya kitoto au yale yanayo kera ndiyo yalikuwa yatumike kumuongoza mtoto kupata majibu sahihi. Mzazi anayekwepa maswali ya mtoto huanza kumtengeneza mtoto muasi na ambaye hamjii yeye kwa maswali na badala yake anatafuta majibu yake kivyake vyake.

Lakini tushukuru kuwa Serikali siyo mzazi ambaye watoto hawana budi kumbembeleza kupata majibu. Serikali inaweza kukerwa na maswali na hivyo kulazimika kutoa majibu ya "Que sera sera" au majibu yanayoitwa "ya mkato" ili kunyamazisha hoja au kufumba mdomo.

Tatizo la mkakati huo ni kuwa wao watawala hudhani wanazungumza na watoto na hivyo wakitoa majibu basi watoto wanatarajiwa kunywea na kunyamaza. Bahati mbaya kwao (nzuri kwetu) wananchi wameanza kuelewa kuwa serikali siyo mama au baba wa Taifa letu, ni chombo tulichokiweka sisi wenyewe na tunapotaka majibu ya maswali yetu hatuombi kama vile kuyupa. Tunataka majibu kwa sababu ni haki yetu.

Hivyo yanapotolewa majibu ya "Que sera sera" sisi kama wananchi tunatakiwa kuchagua kuridhika na majibu hayo na kupiga makofi au kunyosha mkono na kuuliza swali la ziada. Mwanyika anaposema "sijiuzulu sijaiba" badala ya kumkodolea macho tulitakiwa tumuulize "nani kasema umeiba"? Ni kuridhika na majibu ya "Que Sera Sera" ndio maana tupo hapa tulipo.

Mwalimu alisema hivi; "mtu mwenye akili na anayejua kuwa na wewe unaakili akaja na kukushauri jambo la kipumbavu huku anajua na wewe unaakili, halafu ukakubali ushauri huo atakudharau".

Kwa maneno mengine, mtu mwenye akili akitoa majibu ya "Que Sera Sera" na huku anajua na wewe una akili halafu ukakubali majibu hayo atakudharau. Kimsingi basi, majibu ya "Que sera sera" ni majibu ya wazazi kwa mtoto mwenye "maswali mengi". Kwangu mimi majibu hayo hayatoshi.
 
Wenzangu wana usemi "inshaallah" ambao nina ambiwa maana yake ni 'mapenzi ya Mungu.' usemi huu unatumiwa sana kuhalalisha jambo lolote ambalo hatulipendi,k.m. kifo cha mpendwa n.k. Tunajitoa katika kuwajibika kwa fate yetu na tunamsumkumizia mwenyezi. Usemi huu unashahibiana kwa kiasi na huu wa Mchungaji. Kitakochukuwa kitakuwa kwa maana hatuna macho ya kuona mbele. Mawazo kama haya yamechangia kwa kiasi kikubwa sisi kama jamii kuwa hapa tulipo na wenye nia mbaya hawasiti kuitumia kama loophole. Badala ya kuona mchango wetu katika haya matatizo yetu tunamsukumizia mwenyezi. Na wale walio waovu zaidi wanasukumizia genes zetu kuwa ni mipango ya mwenyezi toka awali kutudumaza!

Mimi ndiyo maana naamini kuwa bila kuangalia upya tunavyolea watoto wetu kuanzia majumbani mwetu, mashuleni hadi sehemu za kazi, kwa kuendekeza uoga wa kuuliza maswali ati ni kumvunjia heshima aliyekuzidi, hatutajinasua hapa tulipo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom