Quartz: Watanzania wanafikiri rushwa imepungua nchini kwao, lakini hali ni tofauti sana

Haya tena, yule mpinga takwimu kazi kwake:
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
In brief:

"A May 2017 survey (pdf) by Afrobarometer, a research network, shows that over 70% of Tanzanians believe corruption in the country had decreased “somewhat” or “a lot” in the previous year. This is in stark contrast to the results of a similar survey in 2014, when only 13% reported they believed corruption had decreased in the previous year.

But local perceptions don’t match global measurements. According to Transparency International’s 2016 corruption perception index, Tanzania ranked 117th out of 175 countries in 2013; in 2016, it came in at 116 of 176. The index measures corruption based on assessments and surveys from a variety of organizations that monitor governance in different countries, and assigns a score between 0 (“highly corrupt”) and 100 (“very clean”). From 2013 to 2016, Tanzania’s score actually dropped a point, from 33 to 32.

The difference in Tanzanians’ perceptions of corruption and Transparency International’s might have something to do with a less savory aspect of the Magufuli administration: it’s been accused of stifling opposition views and freedom of speech in general, with its restrictions and closures of media outlets. This shows up in the Afrobarometer survey, too: 71% of Tanzanians said they’d fear retaliation if they had to report corruption to the authorities.

Soma makala nzima hapa chini:
Tanzanians think corruption in their country has declined. The reality is very different
Sisi watz tunajua rushwa imepungua labda yao imeongezeka!! Watuache na ubeberu wao!
 
Iko mpaka Bungeni na Serikalini, halafu utamsikia uchwara na uongo wake napambana na rushwa na ufisadi kumbe UONGO MTUPU!

Rushwa imechachama sahv syo traffic+police,tra etc
Rushwa haiwezi ondoka nchi hii Hata ufanyaje

Ova
 
Corruption in this country is just as prevalent as it was three years ago. It is only structured in a different way.
 
Sasa hivi tumeweza kumuondoa kwenye chanel Chenge na genge lake, lakini wapiganaji wapya wapo kazini kama kawa mwisho wa safari mtaniambia
 
Rushwa tz bado ipo sana,hata Nasari alituonesha namna inavyofanyika ktk ofc za umma,nahaiwezi kuisha kuisha katu ikiwa mshahara wa mtoa rushwa nikupandishwa cheo.
 
Inawezekana kweli imepungua. Nilishikwa na trafiki wakati naenda dodoma ati triangle imechakaa. Afande ananiuliza tukuandikie au? Nikauliza au ndo nini. ? Eti changia lunch. Nikawa nagoma kuacha chochote tukabishana kama nusu saa nikaona wananichelewesha nikawachia hiyo au yao
Mkuu namimi walinikamata maeneo ya Mikumi nikiwa naelekea Iringa, wakidai nimezidisha speed, katika mabishano wakasema waniandikie, nikawaambia sina kitu wakadai nitoe 20,000 halafu 10 wataongezea wao.......nilicheka sana, nikawapa 15 wakasema 15 watajazia wao.......I love this Country.
 
You quartz people are you talking corruption or politics?
I Read the story l found - your argument is completely base less
 
Agichwale, sasa corruption is at it best with no fear among police, .. traffic, judiciary, and TRA to mention but a few at the top

Sent from my HM NOTE 1LTEW using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana kweli imepungua. Nilishikwa na trafiki wakati naenda dodoma ati triangle imechakaa. Afande ananiuliza tukuandikie au? Nikauliza au ndo nini. ? Eti changia lunch. Nikawa nagoma kuacha chochote tukabishana kama nusu saa nikaona wananichelewesha nikawachia hiyo au yao
Mtoa rushwa weweeeee
 
Rushwa imebadilika kwenye moja tu,kutoka kwa wale wa miaka ya nyuma kuingia kwenye mtandao pendwa wa Awamau ya tano.

Ukijiuliza Mali anazomiliki DAB ziko nje ya uwezo wake kifedha lakini nenda ukaone anavyomiliki ni aibu kusema ati RUSHWA hakuna ni uongo mkubwa
 
Back
Top Bottom