Quartz Africa: Tanzania human rights abuses have cost it $310 million in aid in two days

Tang Zhou

JF-Expert Member
Mar 14, 2018
1,208
2,000
Kama kawaida yetu tunaendelea kubamba kimataifa thanks to Jiwe...

Excerpt:
"Since coming to power in 2015, president John Magufuli’s government has stepped up the crackdown on everything from mineral processing to free speech and the registration of foreign ships—earning him the title “The Bulldozer.” Even though he was elected on an anti-corruption platform, his administration has closed newspapers and radio stations, arrested journalists and free press advocates, and introduced an over $900 charge to license blogging".

Hivi mnajua ulimwengu unamshangaa sana Magufuli? Hawamwoni kama mtu mwenye utimamu wa akili. Halaf kwanini wazungu wameamua kutumia fimbo ya kumnyima Magu misaada na mikopo? Bila shaka wanafahamu it will hurt, wanafahamu hili linchi ni likubwa mno hawezi ku-survive Zaidi ya mwaka 1 bila fedha zao. Magu mwenyewe husema tuna Akiba ya forex kuweza kuagiza bidhaa nje kwa miezi 6 tu - hapo maana yake ni kama conditions nyingine za kiuchumi ziko sawa - siyo chaotic kama sasa - sasa akipigwa na huu mbinyo Mzee si atakuwa akienda zile likizo zake ndefu kule Chato anakuwa hana hamu ya kurudi town?

Soma Zaidi:
Tanzania’s human rights abuses have cost it $310 million in aid in two days
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom