Quality Management System-QMS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Quality Management System-QMS

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by safariwafungo, Oct 30, 2010.

 1. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wadau ni imani yangu mko sawa,
  Kwa wale wenye viwanda, maofisi au organization yoyote ile ni dhahiri watakubaliana nami kuna umuhimu wa kujenga mfumo bora wa utendaji wa kazi kiasi kwamba hata kama top manager hayupo bado shughuli zitaendelea na unapozungumzia mafanikio au mapungufu ya firm katika mfumo wa QMS unazungumzia kwa ujumla wake na si mtu mmoja mmoja. Mifumo hiyo ndo hupelekea kusikia makampuni yakijitangaza kuwa yamekuwa certified under ISO 9000, ISO 17025 na nyinginezo nyingi.
  Wadau kwa yule mwenye kuhitaji kuwekewa mfumo bora wa utendeji kazi katika firm yake, ambapo kuna kuwa na forward&backward linkage from mfagiaji ofisi mpaka Executive Director, ndo kazi zetu hizo, so asisite kuwasiliana nami.

  I LOVE TANZANIA THE LAND OF OPPORTUNITY
   
 2. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  i love tanzania the land of opportunity. Safi sana mkuu.ninaomba kupata mawasiliano yako ili tuingie kazini.ok.
   
 3. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  you get it man, you can catch me via my email address as [safariwafungo@yahoo.com] or you can send a private message to me
  karibu, kwa pamoja Tzee itasonga mbele!


  I LOVE TANZANIA THE LAND OF OPPORTUNITY!
   
 4. Cathy Duncan

  Cathy Duncan Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah guys, there is no doubt that Tanzania is a land of so many opportunities. I also appreciate it.
   
Loading...