Quality Group Vacancies

sifuri

Senior Member
May 12, 2013
154
88
Kwa yeyote aliyeingia ZoomTanzania na kuona tangazo la kazi Quality Group atupe ufafanuzi jinsi ya kuapply.

Mungu awabariki

============================
Tanazo liko hivi:

Admin Manager
Job Code - QG 106
1 position (Candidate from Ex-Army / Ex-Police is preferred)

Candidate should possess Organizational and Administrative qualities for the overall responsibility of office facilities, logistics, equipment and storage.

APPLICATION INSTRUCTIONS:

Please mention job code & position in the subject line while applying.

Interested candidates should walk-in Quality Centre
Mall, Pugu Road DSM, with Updated Resume on 8th April, 2016 from 10am to 5pm.

hr.coordinator@qualitygroup.com, +255 (22) '2861 060/61162.

Nilitaka kufaham nnaweza kufanya application kwa address hiyo hapo ( hr.coordinator@qualitygroup.com ) na si lazima kwenda physically ofisini kwao?
 
jiulize hiyo damu miaka 70 from now!where will it be! hongera kwa kuwa na akili
 
*Interested candidate should walk in with updated resume *

Wenye nia walitakiwa kwenda na cv zao kwa ajiri ya interview

*Walk in interview*. Ulitakiwa kwenda physically na cv mkoani.
 
tuliobahatika kufanya interview tumefanya...tunasubil simu ya kuitwa Job!! mungu bariki cjui ndo baaasiiii tenaaa maan mmh wamejua kutuweka!
 
Wengine tulifanya mwisho,wengine walikata tamaa wakaondoka!
All in all walizingua,hawakujipanga au hawakujua watu watakuwa wengi vile.....
Zaidi ya elf3,
Wote uwafanyie usaili same day ilikuwa shida!
Wanataka watu150
 
Wale waarabu wanazingua sana, jana tulienda hamna lolote
Wee Acha tu, Mkuu
Wale waarabu sijui wakoje!! Utaratibu wao uko hovyo yaani shaghala Baghala!!

Niliwahi mapema tu nikakuta nyomi la watu, Cha kushangaza eti wapitie kwanza CV then waje kuita waliochaguliwa mkafanye interview siku iyo iyo wakati watu wanazidi kuongezeka daily.

Watu kibao utafikiri kuna maandamano utaratibu m,bovu sana sijapata kuona.

Shame on QG.
 
Vp nyie mbona mnashindwa kutofautisha kati ya Waarabu na Wahindi ??

Quality Group ni muhindi..Yusuf Manji.
 
Kumbe ulikuwepo
Unaweza kuta tumepiga story kabisa ila ndo hivyoo
 
Si kitu wawe wahindi au waarabu si tatizo. Point muhimu hapa ni kuwa hawakujiandaa,hawakujipanga kwa kweli. Watu tumechomeshwa sana mahindi

BTW, Manji kuwa Muhindi haimaanishi kwamba hawezi kuajili muarabu.

Anyway, Nahisi Manji na hao wahindi wenzie walikuwa na haraka ili kesho yake jumamosi wawahi mechi ya yanga.
 
Kumbe ulikuwepo
Unaweza kuta tumepiga story kabisa ila ndo hivyoo
Nilikuwepo ndio, But sidhani kama niliweza piga story na wewe coz avatar yako iko kama wallpaper kwenye simu yangu lol!
So ni rahisi mimi kukujua wewe,Kuliko ww kunijua mimi.

By The Way, Nilikuwa Hall NO.2
 
Wengine tulifanya mwisho,wengine walikata tamaa wakaondoka!
All in all walizingua,hawakujipanga au hawakujua watu watakuwa wengi vile.....
Zaidi ya elf3,
Wote uwafanyie usaili same day ilikuwa shida!
Wanataka watu150
Wengine tulifanya mwisho,wengine walikata tamaa wakaondoka!
All in all walizingua,hawakujipanga au hawakujua watu watakuwa wengi vile.....
Zaidi ya elf3,
Wote uwafanyie usaili same day ilikuwa shida!
Wanataka watu150
Wengine tulifanya mwisho,wengine walikata tamaa wakaondoka!
All in all walizingua,hawakujipanga au hawakujua watu watakuwa wengi vile.....
Zaidi ya elf3,
Wote uwafanyie usaili same day ilikuwa shida!
Wanataka watu150
Wengine tulifanya mwisho,wengine walikata tamaa wakaondoka!
All in all walizingua,hawakujipanga au hawakujua watu watakuwa wengi vile.....
Zaidi ya elf3,
Wote uwafanyie usaili same day ilikuwa shida!
Wanataka watu150
jaman kumbe wana jf tulikuwa wengi mulee....mara waliofanikiwa kwenye interview mara waliokua rejected yaaan ni shida tuuupuu....bt tusbl jaman tuliofanya interview..... ..
@mrejeshokwayoyoteatakayeitwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom