Qualified workers available

hardworking

New Member
Jun 9, 2008
2
0
Are you searching for qualified workers who hold Diploma of recogonised institution, don't hesitate to contact and get good workers and hardworking.

1) qualified secretary.
2) Typist who can type 50WPM.
3) qualified Teacher from Makerere University in Uganda.
4) Qualified IT student.
5) Computer Teacher
.

They are waiting to hear from you people who owns organisation, private sectors and schools.

contact though
Email: nagujjanasabu@yahoo.com
Phone: +255757444286
Box: P.O. Box 11685
Dar es Salaam.
 
Waambie Wakashindane Kuomba Kazi Kama Wengine Wote Wanavyofanya Hiyo Ndio Haki Yao Ya Msingi Kama Raia Huru Wa Nchi Hii , Unapowasaidia Kuweka Matangazo Yao Hapa Na Wakati Wewe Sio Wakala Ungekuwa Wakala Ungeandika Na Kungekuwa Na Njia Mbadala Za Kukutafuta Zaidi Ya Hiyo Email Na Namba Za Simu

Tafadhali Kaka Dada
 
Shy....... usiwe hivyo, we have to assist our brothers and sisters, wameniambia niwasaidie kwa njia yoyote, kwani ni vibaya?
anyway i am trying to help them may be someone can view and feel interested. wanaendelea kutafuta kazi kwa sasa, lakini kujaribu kwa njia zote sio baya.
 
Are you searching for qualified workers who hold Diploma of recogonised institution, don't hesitate to contact and get good workers and hardworking.

1) qualified secretary.
2) Typist who can type 50WPM.
3) qualified Teacher from Makerere University in Uganda.
4) Qualified IT student.
5) Computer Teacher
.

They are waiting to hear from you people who owns organisation, private sectors and schools.

contact though
Email: nagujjanasabu@yahoo.com
Phone: +255757444286
Box: P.O. Box 11685
Dar es Salaam.
why a qualified teacher from makerere?
uskute aliyeandika tangazo hili naye anawalalamikia mafisadi. mimi hata nafkia hatua ya wkt mwingine, kufkiria kuwa kuna majority of us ambao wanalalamikia mafisadi simply huo mwanya wa kutafuna hizo pesa haukuwaangukia wao! Wangetamani sana kufanya hivyo pia, ila bahati mbaya waliofanya ni wengine, na hoja si kwamba wanachukia uozo uliofanywa. We need to change our MINDSET! Hata tukiwa na katiba ya namna gani, resources za kumwaga na kila ktu tunachodhani kinaweza kutukwamua, bila kuwa na discipline inayohitajika ni bure! Katiba haitakuja ofsini kuja kutuhimiza tufanye kazi km tulivyoiandika, tunatakiwa tuiweke akilini na tufanye kazi tukiwaza km tulivyokuwa tukiwaza wkt tunaiandika. Kwa dhati kabsa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom