Quadruplets: All four brothers accepted into Yale and Harvard university

Woooh, kama ilivyoelezwa hapo juu wote ni athletics, mwanaume anayefanya mazoezi mtamu... ( usiniulize zaidi..) heheheeee
Utasema mdogo wake Dadii... with their innocent faces... Wanavyoonekana ni wadogo kamvuto hakajaja Ila wangekuwa na mvi.... Yeeuwiii ningemrukia huyo mwenye t-shirt nyekundu....

Matata K.
Yes shida watoto bado😅😅😅!hahahhaa nimechekaa!...maasletks wana pumzi naskia😋😋! Sio mwingine kukubeba tu anatetema mwili wote🤣
 
View attachment 1325362
Photo credit: Greg Lynch/The Wade Brothers, from left to right: Zachary, Aaron, Nigel, and Nick

Something really incredible just happened in the Wade household. Ohio quadruplet brothers Zachary, Aaron, Nick, and Nigel Wade found out that they were all accepted into Yale and Harvard University.

Honestly, to have one child from a family be accepted to a school like this is amazing," said Zachary. "But for all four to be accepted — I just don’t, I don’t know how it happened."

Well, we have an idea how the Wade brothers accomplished such a task. Throughout their high school career, the siblings have excelled both in the classroom and athletics. "They are the epitome of academic focus but well-rounded in every way we would want a child to be well-rounded," said Lakota East High School Principal Suzanna Davis. "But each one of them is so very distinct from one another. Their individual personalities are what truly set them apart as high school students and as great young men."

The brothers credit their parents and the Lakota school district for helping them reach their college acceptance goals. Speaking of college goals, Aaron also got accepted into Stanford, Zachary into Cornell, Nigel into Johns Hopkins and Vanderbilt, and Nick into Duke, Georgetown and Stanford. This is not even the full list of their college acceptances, but Nick shared that most of their final college decisions will be based on their financial aid award packages.

Congratulations to you all! Your academic excellence and achievement is an inspiration to us all.
Congrats to their mother! She must be so proud!
 
Ukiwa na uwezo wa kupangilia maisha ya mtoto inamsaidia sana kuwa na uwelekeo. Unampangia kila jioni baada ya shule
J3 - Tennis lessons
J4- Revision day
J5- Swimming lessons
Alhamis- Judo
Ijumaa- play day
J’mosi- anashinda na wewe ofisini ajue kazi yako (kama umejiajiri)
Atapick hobbies tu na muda wa ngono zembe hauta kuwepo.

Muke ya Babuu, maneno yako yanaishi Kwa wazazi waliojitoa mhanga kulea maana yake hapo ujue mzazi wiki nzima hakai kwenye moja moto moja baridi maana lazima uhakiki ulichokipanga kinafanyika na ukitegesha kamera kuna mahali utakwama tuu.

Nawapongeza wote waliojaliiwa kupata uzao na wanajitoa muda hali na mali kwa ajili ya watoto wao.

Ajuza mie hayo mambo yalinipita kando nadansi kwa stepu ini ze nemu ofu ze lodi...

Kasinde Mahaba Matata Daima Dumu Milele.
 
Yes shida watoto bado😅😅😅!hahahhaa nimechekaa!...maasletks wana pumzi naskia😋😋! Sio mwingine kukubeba tu anatetema mwili wote🤣

Usijaribu kugusa, lazima unasee na kujinasua lazima uite winchi inayonyanyua vyuma vya reli ya SGR eehehehehehe

Usiniulize zaidi nimetoa angalizo tuu...

Mahaba Matata.
 
Usijaribu kugusa, lazima unasee na kujinasua lazima uite winchi inayonyanyua vyuma vya reli ya SGR eehehehehehe

Usiniulize zaidi nimetoa angalizo tuu...

Mahaba Ma
Usijaribu kugusa, lazima unasee na kujinasua lazima uite winchi inayonyanyua vyuma vya reli ya SGR eehehehehehe

Usiniulize zaidi nimetoa angalizo tuu...

Mahaba Matata.
Hao Wa hivyo huwa ma geyz!!!
 
Back
Top Bottom