abubakari moshi
Member
- Jul 12, 2017
- 32
- 6
Mi binafsi naomba kuuliza hiii elim ya qt ikoje na katka mfumo upi na mitihan yake inatoka Kam ya kawaid au?
Nachojua kimoja kuhusu QT ni kuwa unasoma elimu ya sekondari kwa miaka miwili yaani F1&2 MWAKA WA KWANZA NA F3&4 MWAKA wa pili...Mi binafsi naomba kuuliza hiii elim ya qt ikoje na katka mfumo upi na mitihan yake inatoka Kam ya kawaid au?
Mitihan yake inatoka kw mfumo ganQT - QUALIFYING TEST.
NI MASOMO YANAYOMWEZESHA MTU KUPATA SIFA ZA KUFANYA MTIHANI WA FORM 4 MARA NYINGI HUSOMWA NA WATU WENYE UMRI MKUBWA HIVYO HAWAWEZI KUFUATA MFUMO RASMI MIAKA YOOTE 4 NA KUSOMA MUDA WOOTE.HIVYO HUSOMA KWA PART TIME TU.
Mtihani wa Qt huwa na maswali 100 yatokanayo na masomo matano kati ya kumi yatungiwayo mtihani.masomo ya lazima ni mawili yahani geography na history.mengine matatu ili kukamilisha idadi ya matano ni chaguo la mhusika.kumbuka kuna masomo hayachanganywi bali kinachofuatwa ni kutengeneza comb.mfano ukiamua kusoma art hiwezi chukua kiswahili English na physics Bali itabidi uongeze civics kama somo la tano.yake
Nakuelew mkuuuMtihani wa Qt huwa na maswali 100 yatokanayo na masomo matano kati ya kumi yatungiwayo mtihani.masomo ya lazima ni mawili yahani geography na history.mengine matatu ili kukamilisha idadi ya matano ni chaguo la mhusika.kumbuka kuna masomo hayachanganywi bali kinachofuatwa ni kutengeneza comb.mfano ukiamua kusoma art hiwezi chukua kiswahili English na physics Bali itabidi uongeze civics kama somo la tano.