evan rwiza
Member
- Nov 9, 2015
- 22
- 17
duhPole saaana.
Hao qnet wazee wa kusalimiana goodmorning hata kaama ni usiku.
duhPole saaana.
Hao qnet wazee wa kusalimiana goodmorning hata kaama ni usiku.
Dah...kwa kiswahili chepesi...yaani unatapeliwa...Kisha unafundishwa utapeli ili utapeli wengineNadhani kuna umuhimu wa financial education katika shule zetu. Haiwezekani ukapata pesa mara mbili without creating any monetary value. Utakuta saa uliyoinunua thamani yake haifiki hata 10% ya gharama uliyolipa, hiyo pia ni insanity. Kwa wenzetu Ufaransa supermarkets haziruhusiwi kuuza hata kwa hasara, that's how seriously they don't want mess-ups with their financial systems. Ila hapa kwetu unaambiwa utapata pesa mara kumi zaidi ya ulichotoa unashangilia, utafikiri pesa inapatikana kwa ramli. If a deal is too good to be true, it might not be true.
Nawashangaa sana watu wanaoingia kwenye pyramid schemes. Ili upate return kwenye investment yako, lazima uwashawishi watu wengine wanunue valueless stuff. Fikiria Watanzania wote wajiunge, wale wa mwisho kujiunga watamshawishi nani ajiunge ili nao warudishe investment yao? The people at the bottom of the pyramid must pay the price and you sound to me that you are paying that price.
Wake up Tanzanians.
Mimi sijaelewa hadi sasa hivi
ngoja nikusaidie kuchekaMilioni tano saa? Inakuonesha future au😄😄😄😄
Kuna jamaa zangu wawili tayari wameingizwa humo,ni vichekesho,wanahangaika mbaya kuwashawishi watu waingie....jamaa yangu mwingine akashawishiwa nae aingie alipofika akawasikilizaaaa akaona Hawa ni vituko.wanamwambia unamuona huyu...huyu alikua mhasibu kampuni x akaacha,unamuona huyu....huyu sijui maisha yake sahivi anakula gold crest hotel,Ana usafiri mzuri,watoto wanasoma shule nzuri nk. Nk.sijui na vitu gan uongo mtupu.jamaa akatoka kuagiza kiepe nje Mara Yule aliyeambiwa anakula hotel nae kaja anaagiza kiepe duh!wajinga waliwao.
Dunia siyo mbaya, walisawaaamwengu ndiyo wabaya.
Heri niendelee Kubet tu.
Wamekuibia umewapa. Watanzania bado tunasafari ndefu sana. Bado wajinga bado wapo wengi,were mmoja waoNimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.
Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Mmmmm! Ungeenda hiyo ya pili ndipo ufanye uamuzi, mwanaume usichomoe mapema fanya utafiti ungeujua ukweli!!! Do you think dada yako alitaka kukutapeli???Hata mimi dada yangu ameingia huku kwenye Qnet, amenisha uri namimi niingie lakini nimemchomolea njee, na presentation yapili nilikataa kwenda kwa kumpiga chenga...
Mkuu, Polisi hawahawa wamekuwa watamu baada ya kulizwa!Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.
Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.