Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

Nadhani kuna umuhimu wa financial education katika shule zetu. Haiwezekani ukapata pesa mara mbili without creating any monetary value. Utakuta saa uliyoinunua thamani yake haifiki hata 10% ya gharama uliyolipa, hiyo pia ni insanity. Kwa wenzetu Ufaransa supermarkets haziruhusiwi kuuza hata kwa hasara, that's how seriously they don't want mess-ups with their financial systems. Ila hapa kwetu unaambiwa utapata pesa mara kumi zaidi ya ulichotoa unashangilia, utafikiri pesa inapatikana kwa ramli. If a deal is too good to be true, it might not be true.
Nawashangaa sana watu wanaoingia kwenye pyramid schemes. Ili upate return kwenye investment yako, lazima uwashawishi watu wengine wanunue valueless stuff. Fikiria Watanzania wote wajiunge, wale wa mwisho kujiunga watamshawishi nani ajiunge ili nao warudishe investment yao? The people at the bottom of the pyramid must pay the price and you sound to me that you are paying that price.
Wake up Tanzanians.
 
Kuna jamaa zangu wawili tayari wameingizwa humo,ni vichekesho,wanahangaika mbaya kuwashawishi watu waingie....jamaa yangu mwingine akashawishiwa nae aingie alipofika akawasikilizaaaa akaona Hawa ni vituko.wanamwambia unamuona huyu...huyu alikua mhasibu kampuni x akaacha,unamuona huyu....huyu sijui maisha yake sahivi anakula gold crest hotel,Ana usafiri mzuri,watoto wanasoma shule nzuri nk. Nk.sijui na vitu gan uongo mtupu.jamaa akatoka kuagiza kiepe nje Mara Yule aliyeambiwa anakula hotel nae kaja anaagiza kiepe duh!wajinga waliwao.
 
Dah...kwa kiswahili chepesi...yaani unatapeliwa...Kisha unafundishwa utapeli ili utapeli wengine
 
Hahahaha
Kuna jamaa zangu wawili tayari wameingizwa humo,ni vichekesho,wanahangaika mbaya kuwashawishi watu waingie....jamaa yangu mwingine akashawishiwa nae aingie alipofika akawasikilizaaaa akaona Hawa ni vituko.wanamwambia unamuona huyu...huyu alikua mhasibu kampuni x akaacha,unamuona huyu....huyu sijui maisha yake sahivi anakula gold crest hotel,Ana usafiri mzuri,watoto wanasoma shule nzuri nk. Nk.sijui na vitu gan uongo mtupu.jamaa akatoka kuagiza kiepe nje Mara Yule aliyeambiwa anakula hotel nae kaja anaagiza kiepe duh!wajinga waliwao.
 
Wanajamvi wote nawasalimu
Katika pitapita zangu nimekutana na fursa inaitwa Q-net (biashara ya aina yake kwa njia yatandao)
Wananishawishi kuwekeza nao.

Je kuna anayeifahamu kiundani anijuze?
 
sio nzuri kwasababu
inakubidi ufanye peer ili ufanikiwe

unatakiwa kuunga watu chini yako ili upate hela
so mimi kwangu mifumo yote ya namna kama hiyo huwa siwezi hata kuifagilia hata kidogo
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Wamekuibia umewapa. Watanzania bado tunasafari ndefu sana. Bado wajinga bado wapo wengi,were mmoja wao
 
Hata mimi dada yangu ameingia huku kwenye Qnet, amenisha uri namimi niingie lakini nimemchomolea njee, na presentation yapili nilikataa kwenda kwa kumpiga chenga...
Mmmmm! Ungeenda hiyo ya pili ndipo ufanye uamuzi, mwanaume usichomoe mapema fanya utafiti ungeujua ukweli!!! Do you think dada yako alitaka kukutapeli???
 
Kimsingi hawa jamaa sio wezi. Ukifuata vile wanavyotaka pesa unapata. Swali ni kwamba kuna watanzania wangapi ambao wanaweza kuwa na chain ya watu labda kumi ambao watakua tayari kutoa mil 4.5/5 kila mmoja ili uweze kupata pesa?

Iko hivi... Hii ni biashara ya mtandao kama inavyojieleza. Unatengeneza mtandao wako na pesa inaingia kutokana na ukubwa wa mtandao unaoutengeneza. Ukishindwa kutengeneza mtandao huwezi pata pesa.
Kwa muktadha huo huwezi kuwashitaki kwa sbb baada ya kutoa pesa kazi inabaki kwako sasa ulete watu mtandao wako ukue nawe upate pesa. Na jamaa wako wazi kabisa tangu mwanzo.
Tatizo ninaloliona na ukurupukaji na tamaa ya pesa nyingi.
Kwa maoni yangu ni kwamba hii sio biashara haifai kwa nchi masikini kwa sbb watu wengi wanaingia kichwa kichwa na mwisho wa siku wanalalamika kuwa wamepigwa.
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Mkuu, Polisi hawahawa wamekuwa watamu baada ya kulizwa!
 
51 Reactions
Reply
Back
Top Bottom