Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

Kwa Mwanza sasa wana kiofisi uchwara maeneo ya Mkolani barabara ya kwenda Ibanda primary...Good morning Patners za kutosha....nilivyosikia hivo tu nikajua yale yale tunayotahadharishwa kila siku kule jf. ..nikapigwa 1st presentation najazwa ujinga tu kuhusu Q net...Mara kuna mwenzetu aliacha kazi ya mshahara 3M ili awe full time kwenye hizi project...nikapewa mambo ya BV kubalance right na left nikawa nacheka moyoni tu.....Sasa baada ya siku kadhaa jamaa ananiambia njoo kwenye 2nd presentation huku ndio kuna 80% ya utirio nikamwambia ili tusiharibu urafiki wetu usidhubutu kunihusisha na hayo mambo tena
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pale Mwanza walinikosa kosa mbaya....tawi lao la kule kona ya Bwiru...Daah hawa watu almanusura wanisafishe
Ilo tafi la bwiru nilishapelekwa na rafiki angu ambaye alikopa pesa bank akajiunga. Mimi nilishtuka fasta na nikamuekeza ukweli. Jmaa akanichukia. Sasa hivi ni bodaboda. Anaona hata aibu kunisalimia baada ya kugundua kapigwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Kwani ushatuletea wenzio wawili?

"Goodmorning Partners"
 
Si ndo vinapenda mambo mazuri haraka haraka
Hawa Qnet wanandugu zao wapya wanaitwa Alliance in Motion Global wako kule karibu na Shoppers plaza jengo lao lina rangi za yebo yebo walitaka kuniingiza kingi na semina yao ila kila nikiangalia wale vijana masharobalo na suti zao kuna kitu kichwani kinanambia sepa duuh hata semina sikuimaliza
 
51 Reactions
Reply
Back
Top Bottom