Q-NET naomba pesa yangu milioni 5, nimenunua saa mpaka sasa najuta kuwafahamu

Nikiwaambia njooni mpitimbi tulime hamtaki sasa ngoja mkomeshwe hivyo hivyo, wanaume wa Dar ni watu wa hovyo sana aiseee.
 
hawa jamaa sio kidogo waninase na kamtego kao ila kupitia jamii forum ilinielimisha na kunuokoa kutoka ktk hilo li Qnet
 
kuna jamaa yangu mmoja alikuja akanismbue akanipa huu mchongo kisha akaniunganisha na dada mmoja yupo Denmark. kuba vitu vingi tu wanauza kama simu,saa,gar ba etc. cha bei nafuu ni saa ndo hiyo inaenda kama 5m.
wanakwambia endapo utampeleja Mteja juna % flan Unapata.
niliwaza nikaona ni ujinga. nikapibga chini mchongo Huo hadi leo.
 
Hawa Qnet wanasalamu yao Good morning iwe asubuhi , mchana hata usiku ...walitaka niingiza mkenge wakashindwa
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Good morning, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...
 
Hawa Qnet wanasalamu yao Good morning iwe asubuhi , mchana hata usiku ...walitaka niingiza mkenge wakashindwa
Nilikua na shemeji yangu fulani leo mchana akapokea simu kama tatu wakasalimiana good morning nikashtuka mbn sio muda wa good morning
Sasa naanza kuunga dots nae atakua wa huko maana alishawahi kunikomalia anataka kuniunganisha na project bla bla nikiuliza ni wapi haweki wazi anataka niende ofisini kwao
 
Nimepigwa na hawa wezi wa Qnet wamenishawishi nikaingia nikanunua SAA mil 5 nitapata Mara mbili zaidi ya hapo.

Naomba mnipe pesa zangu tutauwana Mwaka huu mil 5 hivi hivi, then mpaka sasa bila bila nitakuja ofisini kwenu na polisi mambo ya utapeli iwe mwisho kabisa.
Tusaidie kwa kuweka ushahidi wa payment uliyofanya please!
 
Back
Top Bottom